Dar: Wanafunzi wa kike sekondari za Kinondoni wanaanza ngono mapema sana

Kwani kajala kasemaje,? kumjibu Yule mama aliyesema mwanaye bikra sio Malaya, kajibu sawa mwanangu ni takataka, Kama mzazi inaumiza Ila watoto wetu jamani wanatutukanisha .[emoji17]
 
Chai
 
Hayo mambo yanaanzia nyumbani na Wala sio shuleni
 
Sasa Mzazi umempa mwenyewe simu mwanafunzi unategemea nini Kama siyo kutwa nzima kutongozwa kupitia hiyo hiyo simu?

Simu siyo nzuri kwa Wanafunzi, subiri afike umri wa kwenda chuo ndiyo angalau waweza mpaa simu yake mwenyewe!!
Matatizo mengi walionayo wanafunzi wanTanzania yanasababishwa na jamii i.e. watu wazima. Infact naweza kusema bila shaka kabisa kuwa tatizo siyo hao watoto bai tatizo ni jamii. Kwa wale walibahatika kuishi nchi zilizoendlea wanajua kuwa kwa maisha ya sasa simu ni kifaa muhimu sana na wanafunzi karibu wote humiliki simu mara wanapofikisha miaka 9 na kuendelea. Mbona hawana haya matatizo? Kwenye jamii yetu, inaonekana kama kumnunulia mtoto simu ni kumtuma afanye mahusiano ya ngono lakini ukweli ni kwamba jamii yetu ndiyo inaona/inatumia simu kama chombo cha mawasiano ya ngono. Hivyo basi watoto wanachofanya ni kuiga kutoka kwa wazazi wao. Siku hizi, asilimia kubwa kabisa ya wamiliki wa simu wanadhani na huzitumia kwenye mambo yanayohusiana na ngono.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…