Dar: Wanafunzi wa kike sekondari za Kinondoni wanaanza ngono mapema sana

Dar: Wanafunzi wa kike sekondari za Kinondoni wanaanza ngono mapema sana

Msisingizie mavazi, useme tamaa za wanaume tyuuh.
Sio tamaa tu tamaa huja kwa kutamanishwa.

Utatamani vipi kitu usichotamanishwa, vibinti vinavaa hovyo sana vinaenda church nusu uchi why visisimamishwe.

Wavalisheni wanenu nguo za stara.
 
Hiki kizazi hiki aiseee! Na si shule hizo tu, haya mambo sasa yako kwenye karibu kila shule. Sijui hata tufanyeje kunusuru hali?
Mtu anashangaa kizazi hiki !!!! Ukimuuliza Vizazi vitatu nyumba Binti kama huyo sasa hivi angekuwa na watoto wangapi ?

Kupinga sawa Pinga; ila argument yako isiwe based kwenye make believe facts.....
 
Back
Top Bottom