Mtoto anavaa nusu uchi kwanini asitongozwe?
Mnapenda uzungu sana nyie wabantu, watoto wakiwa na yale masare yao hata hawavutii, ila akifika home sasa anavaa kitaiti chake kimemmbana kinachora tutako twake, kavaa kifulana kidogo ambacho kama ni mrefu kumzidi basi matiti yote unayaona yamesimama dede.
Huku kashika smartphone anachart huku anatembea. Na hapo katumwa na mama dukani, yaani mama kaona kavaa vile kavunga, kapita sebleni mbele ya baba kavaa hivyohivyo baba nae kavunga kaacha aende. Aloo wahuni mtaani hawamvungii wanamuungia tela hata awe na sura mbovu namna gani lakini hayo mavazi yamewashawishi.
Wahimizeni wanenu wavae vizuri, wasiavae nguo za mitego. Kwanini unaruhusu mwanao avae sketi fupi, avae sketi inayoangaza hadi chupi aliyovaa, skin tight inachora chupi, ni kama yupo uchi tu.
Halafu mnakuja kulalamika huku, na mnawapa mzigo mkubwa sana walimu wa hizo shule.