Dar: Wanafunzi wa kike sekondari za Kinondoni wanaanza ngono mapema sana

Dar: Wanafunzi wa kike sekondari za Kinondoni wanaanza ngono mapema sana

Mkuu samahani,naomba urekebishe alipokosea,ntashukuru zaidi kwa niaba yake,hapo ulipoweka RED.Asante in advance.
Kwenye statement yake hii "for every action there is "AN" equal and opposite reaction" alipaswa kuandika there is an equal, na sio there is equal. Sawa sawa ndugu?
 
wakuu tuwape.elimu haw madogo juu ya athar za ngono zembe na jins ya kuepuka magonjw ya zinaa na mimba mashulen ila kuhus kukataza hio haiwezekan na ni ujinga mana kla mtu kaptia teenage stage yan hapo dogo haelew ktu wapew elmu tu wasfnye ngono zembe alaf waendelee kufnya kw afya na wasome vilevile
NB usiniulze nawakulaga ama laa ila kumkataza mtu asile raha za mwl wke nao ni kuvunja haki za binadam
 
Back
Top Bottom