Dar: Wanafunzi wa kike sekondari za Kinondoni wanaanza ngono mapema sana

Dar: Wanafunzi wa kike sekondari za Kinondoni wanaanza ngono mapema sana

wakuu tuwape.elimu haw madogo juu ya athar za ngono zembe na jins ya kuepuka magonjw ya zinaa na mimba mashulen ila kuhus kukataza hio haiwezekan na ni ujinga mana kla mtu kaptia teenage stage yan hapo dogo haelew ktu wapew elmu tu wasfnye ngono zembe alaf waendelee kufnya kw afya na wasome vilevile
NB usiniulze nawakulaga ama laa ila kumkataza mtu asile raha za mwl wke nao ni kuvunja haki za binadam
Umeongea pwenti
 
Hahahaa ndugu yako yeye anapenda sana mada hizo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nasema ukwelii, kuna case imetokea hapa mtaani, mtoto wa 4m 2 kiume kuwa na mahusiano na kinyozi wa saloon.

Kinyozi kakimbiaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Waambieni ukweli watoto zenu, watu wamepinda sahivi, hawaangakii kwa kuchovyaa mradi wana ejaculate.
 
Back
Top Bottom