Dar: Wananchi Mikocheni wagomea Kituo cha Mafuta kujengwa kwenye makazi yao

Kituo cha mafuta kinatakiwa kikae umbali gani na makazi ya watu, shule au hospitali?
 
Yuko sahihi ndio kwa sababu amejipa muda wa kuchunguza vibali alivyo navyo mwekezaji ili kubaini kama ni harari ndipo arudi kwa wakaazi wa eneo kuwapa majibu ya hatua zitakazofuata.
Huoni kama kafuata utaratibu sahihi?
Swala sio utaratibu hao wananchi hawajashirikishwa kabisa kama sheria inavyosema tayari huo mchakato mzima ni haramu
 
Aliyekosea kutoa vibali ajiandae kumlipa fidia kubwa sana, utasikia tunalipishwa bilioni 500 kwa hicho kituo
 
Hao wakazi wakati wanajenga makazi yao walimshirikisha nani?
 
Kituo kitajengwa tu, kwa ccm hii ya samia, Mungu wao ni pesa na Rushwa, hapo mihamara itatembea kuanzia, serikali za mtaa, mpaka wizarani, na kituo kitajengwa.
 
wewe mjinga utajengaje Petro station kwenye makazi ya watu? nchi inaharibiwa sababu pia ya wapumhavu type yako.Mko wengi sana nchi hii mkoa karibia million 57 mwenye akili za aina hii
 
09 December 2023
Dar es Salaam, Tanzania

Wakaazi waendelea kuchachamaa kituo cha mafuta

PROF. TIBAIJUKA AIBUKA, MZEE RUPIA / HAPA KUNA MCHONGO / HATUNA PAKWENDA / RC CHALAMILA TUSAIDIE / SHELI HII IONDOKE


View: https://m.youtube.com/watch?v=67q1DVoGjcIAlbert Chalamila - Nyaraka zinaweza kuwa za kweli, lakini hazikufuata taratibu na sheria za mipango ya miji hivyo nitachunguza hivyo naomba mnipe muda, mimi hapa RC mkuu wa mkoa ninashitakiwa kesi kibao hivyo tunahitaji umakini jinsi tunavyoendea mambo kama haya ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…