Dar: Wananchi wamelalamikia kujengwa kwa Kituo cha kuuza mafuta cha Barrel Petrol Station karibu na makazi yao

Tatizo la nchi yetu ni CCM tu. Labda wajirekebishe.
 
Unajua utajiri anaouongelea waziri, inawezekana ana maana kuwa na wazaz wenye kazi nzuri na wanaishi kwa kutosheka kwake huo ndio utajiri na si kwa tafsiri yako kwamba utajiri ni kuwa na pesa nyingi, nyumba nyingi magari nk..
 
Waziri asiingiliwe,muache afanye kazi yake ya kusimamia sheria na utaratibu

Ingekua hivo basi kila mtu angekanyaga utaratibu kisa Waziri asiongee atatolewa
 
Hata marehemu Profesa Justinian Rweyemamu alipomwambia Nyerere kuwa Tanzania iwekeze kwenye viwanda vya kutengeneza mashine na mitambo midogo midogo kwa ajili ya Industrialization alikataa kwa kumuona mjuaji. Sasa hivi mashine hizo zimejaa Kariakoo kutoka China zinauzwa kama njugu huku viongozi wakina Kitila Mkumbo na wenzake wakipiga kelele kuita wawekezaji kutusaidia kuendesha Bandari na misitu.

Tatizo letu ni CCM. Labda wajirekebishe.
 
Avunje aone
Mbona nyinyi mko wapumbavu..kituo cha mafuta kimezuiwa kufanya biashara si lazima kivunjwe, atavunja yeye mwenye kituo, ameshaambiwa hakipaswi kuendelea kutoa huduma hiyo tu tayari kimeshavunjwa. Mwambie yeye mwenye kituo km Ana ubavu afungue aendelee na biashara aone kitakachotokea..usimtishe waziri wakati tayari ameshafanya kazi yake..mwenye kituo mwambie ajibu!
 
Hivi kati ya polisi na daktari..utaamini nani yuko sahihi kuhusu taarifa za mgonjwa? Punguani ataamini anachosema polisi..ndio wewe! wala usiwalaumu hao wazee, wewe hata nusu ya walichofanya wao kwa taifa na dunia hujafikia na kwa akili km hii hutakaa ufikie..
 
Ajali ya Lori ya mafuta morogoro hizo safety precautionary measures zilisaidia nini kupunguza kiwango cha madhara? Mtu makini hawezi tegemea precautionary measures kwa jambo lenye hatari inayoweza sababisha maafa! Ustaarabu wa UK huwezi kuulinganisha na hapa unahitaji kufundishwa kujua hili?
Sheria iko wazi..comply! Uone km kuna mtu atakufuata...
 
Sawa..
Ila TUSIVUNJE SHERIA KWA KISINGIZIO CHA MAVUNO YA KODI...
 
Ukiona hivyo kila mtu anatamani angekuwa mhaya wanaupenda mkoa wa Kagera ndio maana wanakuja na hoja za kuponda maendeleo .
Hivi Kagera kuna sehemu mbaya kama vingunguti ,Buguruni ,Tandale au mbagala maji matitu aaha aah aah
Watu wanatafuta attention kwa wahaya...

Na nimekuja kugundua watu wanafanyia utani uhaya na kuoverrate tabia wanazoziita za kihaya ili wapate attention kutoka kwa wahaya na makabila kereketwa na wahaya ili.wapate popularity .
Mtu yuko hapa anaongelea maendeleo ya Bukoba...wakati mji mzima wa Bukoba matatizo yake yanajulikana ni soko, stendi na barabara za mjini kati ( ambazo nazo kwa standard za Tz ziko poa tu)...stendi yenyew ujenzi unaendelea naona wamezungushia mabati...
Bukoba kuna miradi kibao tu siku ikiwemo barabara ya njia nne...

Lakin mtu hata kijijini kwao hakuna nyumba ya bati hata moja...au mtu anakaaa jimbo la kibamba Dar jimbo ambalo ukitoa barabara kuu mitaa barabara zina makorongo hatari yupo hapa anaisema Bukoba na maendeleo...
 
Unafananisha apples and pears.

Lorry na kituo cha mafuta requirement zake za safety regulations ni tofauti.

Halafu Tanzania kwenye usafirishaji wa mafuta regulations ndio hamna kabisa. Tanker la mafuta nchi za ulaya lina bei kubwa sana kwa sababu ya specification zake za kuzuia spillage likipinduka na adhabu yake mafuta yakimwagika gari likipinduka sio ndogo.

Tanzania wafanyabiashara wengi wa mizigo wanaagiza matanka used na ambayo wazungu wanabebea maziwa au liquids zingine ambazo uimara sio lazima ufanane na matank ya kubebea mafuta.

Kuhusu vifo lazima tukubaliane source ni ujinga na desperation ya wa watanzania kufuata petrol ambayo wakati wowote inaweza lipuka.

Vituo vya mafuta reserve ya kituo ina layers kibao za kuzuia madhara ya mlipuko, kuna fire extinguishers, michanga, uwezo wa reserve kufungia petrol na masharti luluki ya EWURA. Sio rahisi hivyo kifikia majengo ya watu.
 
Mimi kusema ukweli watu unishangaza sana...hata hiyo Bukoba yenyew mbona iko poa tu...
Bukoba kuna the best Airport terminal na naskia mwakani wanajenga control tower na uwanja unawekewa taa.....tazama mikoa mingi Tz airport zao kama vibanda vya kuku...anza na Dodoma, nenda Arusha, musoma, iringa nk nk

Bukoba kuna uwanja mzr wa mpira wa kaitaba una nyasi bandia na Taa na uko top 5 ya viwanja bora nchi hii...angalia mikoa mingine hapa Tz na viwanja vyao vya ccm tukianza kirumba sijui jamhuri

Bukoba kuna shule nzr tu na zenye elimu bora sana...Tazama chuo cha veta bukoba kinazidi uzuri DUCE au mzumbe kwa majengo mazr..tz shule ya bk sec, ihungo, kaizirege nk

Bukoba kuna bandari kubwa tu Custom na nyingine ya mizigo kemondo meli zinakuja na bandari hiz ziko zinapanuliwa kupokea meli ya mv mwanza
Na mengine mengi tu bukoba iko vzr sana


Lakin ukosefu wa stendi bukoba ambako wengi hufikia basi wanaona Bukoba wanateseka sana na hakuna maendeleo [emoji23]...anasahau stendi ya kigamboni, rangi tatu, bunju, kawe huko dar ambazo ziko kama ilivyokuwa stendi ya Bukoba ambayo nayo inajengwa
Kumbe sekta nyingi Bukoba imepiga hatua kubwa tu.. angalia hata barabara za mitaa bukoba..nyingi zinalami
 
Vituo vingi sahv vilivyojengwa viko karibu na makazi
Kinondoni Road sahv napo kuna sheli inakuja njia ya kuelekea mataa ya salender
Ukienda huko tandale ndy balaaa
Ishara kuwa rushwa imetamalaki
 
Nikiiangalia Bukoba, naifananisha na mji wa kandahar uliopigwa mabomu na marekani
 
Km hutaki kujengewa kituo cha mafuta karibu na nyumbani kwako kwa nini usiende kuishi mwakaleli Ili kuepuka kero.
 
Mkuu chanzo ajali ile haikuwa Kituo cha mafuta, umekiri mwenyewe ni lori! Nimeomba nitajie tikio au ajali iliyotokana na Kituo cha mafuta ndani ya miaka 10.

Mkuu kwa sasa hivi hapa mjini kila nyumba ina ama petroli/gesi kwenye tenki la gari au gesi ya kupikia na inaweza kulipuka wakati wowote, mbona hatuongopi??

Pili Tibaijuka hana moral authority ya kuzuia au kulalamika kuhusu rushwa, maana yeye mwenye mla rushwa mzuri tu!
 
Unaijua UFI
Unaijua ZZK
Unaijua Swalla
Unaijua Nyumbu.
Leo vinafanya nini? Kwa taarifa yako Nyerere alijenga viwanda vya zana ndogo hapa lkn vyoooootr leo mashine zimeuzwa screpa na Majengo yake ni yard za matajiri Wahindi na Waarabu.
Pale SHEKILANGO URAFIKI leo kuna Stendi ya Mabasi ya BM so ulitaka Nyerere afanyeje????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…