Hizo sheria zinazingatiwa mikocheni tu? Uswahilini kuna vituo kibao kwenye makazi ya watu wilaya zote za Dar es salaam mbona hajashupalia huko?Msimsumbue Slaa, Yuko katika HAKI anafuata SHERIA.
Huyo Mansoor tukimsaka kwenye walipakodi wakubwa nchini yumo?
Haikubaliki.
Mbona vituo kibao vimejengwa uswahilini wilaya zote dar maeneo yasiyotakiwa mbona hajafoka ? Ana lake jamboKodi bila utaratibu hatutaki,
Jerry simama hivyohivyo janjajanja hapana
Hayo ya vituo Nchi nzima Muulize aliyepita,Hizo sheria zinazingatiwa mikocheni tu? Uswahilini kuna vituo kibao kwenye makazi ya watu wilaya zote za Dar es salaam mbona hajashupalia huko?
Why mikocheni? Only.Mmm au alitaka dau kubwa zaidi akamwambia mimi.nina milioni.300 tu akagoma
nadhani shida yako ni uelewa mdogo.Yeye alipewa huduma na ofisi za waziri jerry, kama kukiuka sheria basi ni wizara ya jerry silaa, yeye akiwa namba moja, mwananchi ni mpokea huduma tu
Wizara ya Jerry Silaa ndiyo ilibadili matumizi ya ardhi ya eneo hilo na ikampa kibali cha ujenzi, yuko hapo kihalali.nadhani shida yako ni uelewa mdogo.
Iko hivi, ukijenga sehemu isiyotakiwa, uwepo wako hapo ni haramu hata kama una kibali cha wizara au manispaa maana kibali hicho kimekiuka sheria hivyo ni batili.
Huyo mwenye kibali anapaswa kwenda kuwashitaki hao maafisa wa Wizara na wizara yenyewe waliompa kibali batili.
Lakini hawezi enda shitaki sababu anajua fika uwepo wake pale ni batili na yeye alihonga ili kupata kibali hicho.
Sasa njia ni mbili kumuhonga waziri ili akaushe, au kumpiga fitina ili Rais amtoe. Na fitina zinaendana na uzushi na propaganda. Watu kama wewe mnafanya kazi ya fitina kwa kujua au kutokujua. Acha upumbavu. Siku inapotokea ajali na mama, mkeo au mwanao akafia hapo, ndio utaelewa umuhimu wa mipango miji.
Kodi sio muhimu kuliko maisha ya watuNchi inahitaji kodi kuliko chochote, kuliko hata uwaziri wa Jerry Silaa. Bora Silaa aondoke kituo cha mafuta kibaki, vikodi vya mshahara wa Silaa havifiki milioni 10 kwa mwezi, kituo cha mafuta kinaweza kuingiza hata milioni 500 kwa mwezi.
Hata kliniki za ardhi ni njia yake ya kutegeshea rushwa
MsogaHivi anayewapa kichwa wafanyabiashara wahuni ni nani?
Naunga mkono hoja.Nchi inahitaji kodi kuliko chochote, kuliko hata uwaziri wa Jerry Silaa. Bora Silaa aondoke kituo cha mafuta kibaki, vikodi vya mshahara wa Silaa havifiki milioni 10 kwa mwezi, kituo cha mafuta kinaweza kuingiza hata milioni 500 kwa mwezi.
Hata kliniki za ardhi ni njia yake ya kutegeshea rushwa
Msoga coTena hawa wakwepa kodi wabaya sana na ndiyo waliomuua Dkt Magu
Ujinga huo, kituo kinajengwaje kwenye makazi ya watuNchi inahitaji kodi kuliko chochote, kuliko hata uwaziri wa Jerry Silaa. Bora Silaa aondoke kituo cha mafuta kibaki, vikodi vya mshahara wa Silaa havifiki milioni 10 kwa mwezi, kituo cha mafuta kinaweza kuingiza hata milioni 500 kwa mwezi.
Hata kliniki za ardhi ni njia yake ya kutegeshea rushwa
Ungetumia akili basi hata kidogo. Si kila jambo la kupinga au kushabikia. Vituo vya mafuta vinapaswa viwe maeneo yake pia kila jambo linapaswa kuwa katika mipangoNchi inahitaji kodi kuliko chochote, kuliko hata uwaziri wa Jerry Silaa. Bora Silaa aondoke kituo cha mafuta kibaki, vikodi vya mshahara wa Silaa havifiki milioni 10 kwa mwezi, kituo cha mafuta kinaweza kuingiza hata milioni 500 kwa mwezi.
Hata kliniki za ardhi ni njia yake ya kutegeshea rushwa