Dar: Wananchi wamelalamikia kujengwa kwa Kituo cha kuuza mafuta cha Barrel Petrol Station karibu na makazi yao

Nadhani kama nchi tunahitaji mjadala, kama mtu wa hadhi ya uwaziri anasema mshahara wa baba yake umemfanya awe tajiri, hizi ni fikra finyu kabisa kuwahi kutamkwa na kiongozi wa ngazi ya kitaifa.

Pengine anawaona wanaotafuta ajira ni wapuuzi kwa kuwa baba zao ni waajiriwa. Hataweza kuwasaidia na kusaidia taifa kutatua tatizo la ajira. Mshahara wa baba unamfanyaje mtoto awe tajiri?

Baba kapokea mshahara, kaleta mchele na mboga, kwako hiyo ni toosha kutamba wewe tajiri
 
Hatari sana,

Kwa wenzetu ili uwe kiongozi, kiwango chako cha akili na uelewa kinapaswa kuwa kikubwa sana ila huku ni kazi ndogo sana.

Nchi nyingine zimeenda mbali kidogo, kuna level kama hizi za uwakilishi wa wananchi lazima uwe tajiri na mtu mwenye mafanikio kupitia biashara.
 
Tuanze na aliyemteua je anamjua vizuri mteule wake au alipelekewa tu na mamluki kwa manufaa yao binafsi?
 
Kama mwekezaji wa mchongo anajenga kituo Mahali pasoruhusiwa,

Hata kulipa Kodi anaweza asilipe akahonga.

Nchi hii Si ya kikundi kidogo, ni yetu sote.

SHERIA zifuatwe.
 
Msimsumbue Slaa, Yuko katika HAKI anafuata SHERIA.

Huyo Mansoor tukimsaka kwenye walipakodi wakubwa nchini yumo?

Haikubaliki.
Hizo sheria zinazingatiwa mikocheni tu? Uswahilini kuna vituo kibao kwenye makazi ya watu wilaya zote za Dar es salaam mbona hajashupalia huko?
Why mikocheni? Only.Mmm au alitaka dau kubwa zaidi akamwambia mimi.nina milioni.300 tu akagoma
 
Hayo ya vituo Nchi nzima Muulize aliyepita,

Na kuwepo vituo Nchi nzima karibu na makazi Bado ni haramu, haihalalishi kosa.

Ikiwa mnaamini ni sababu ya kukataa RUSHWA ndogo, thibitisheni.

HAKI bin HAKI.
 
Yeye alipewa huduma na ofisi za waziri jerry, kama kukiuka sheria basi ni wizara ya jerry silaa, yeye akiwa namba moja, mwananchi ni mpokea huduma tu
nadhani shida yako ni uelewa mdogo.

Iko hivi, ukijenga sehemu isiyotakiwa, uwepo wako hapo ni haramu hata kama una kibali cha wizara au manispaa maana kibali hicho kimekiuka sheria hivyo ni batili.

Huyo mwenye kibali anapaswa kwenda kuwashitaki hao maafisa wa Wizara na wizara yenyewe waliompa kibali batili.

Lakini hawezi enda shitaki sababu anajua fika uwepo wake pale ni batili na yeye alihonga ili kupata kibali hicho.

Sasa njia ni mbili kumuhonga waziri ili akaushe, au kumpiga fitina ili Rais amtoe. Na fitina zinaendana na uzushi na propaganda. Watu kama wewe mnafanya kazi ya fitina kwa kujua au kutokujua. Acha upumbavu. Siku inapotokea ajali na mama, mkeo au mwanao akafia hapo, ndio utaelewa umuhimu wa mipango miji.
 
Wizara ya Jerry Silaa ndiyo ilibadili matumizi ya ardhi ya eneo hilo na ikampa kibali cha ujenzi, yuko hapo kihalali.

Unatumia masaburi kufikiri
 
Nchi inahitaji kodi kuliko chochote, kuliko hata uwaziri wa Jerry Silaa. Bora Silaa aondoke kituo cha mafuta kibaki, vikodi vya mshahara wa Silaa havifiki milioni 10 kwa mwezi, kituo cha mafuta kinaweza kuingiza hata milioni 500 kwa mwezi.

Hata kliniki za ardhi ni njia yake ya kutegeshea rushwa
Kodi sio muhimu kuliko maisha ya watu
 
Nchi inahitaji kodi kuliko chochote, kuliko hata uwaziri wa Jerry Silaa. Bora Silaa aondoke kituo cha mafuta kibaki, vikodi vya mshahara wa Silaa havifiki milioni 10 kwa mwezi, kituo cha mafuta kinaweza kuingiza hata milioni 500 kwa mwezi.

Hata kliniki za ardhi ni njia yake ya kutegeshea rushwa
Naunga mkono hoja.
 
Ujinga huo, kituo kinajengwaje kwenye makazi ya watu
 
Nchi inahitaji kodi kuliko chochote, kuliko hata uwaziri wa Jerry Silaa. Bora Silaa aondoke kituo cha mafuta kibaki, vikodi vya mshahara wa Silaa havifiki milioni 10 kwa mwezi, kituo cha mafuta kinaweza kuingiza hata milioni 500 kwa mwezi.

Hata kliniki za ardhi ni njia yake ya kutegeshea rushwa
Ungetumia akili basi hata kidogo. Si kila jambo la kupinga au kushabikia. Vituo vya mafuta vinapaswa viwe maeneo yake pia kila jambo linapaswa kuwa katika mipango
 
Kuna kituo kipo njia ya msewe kutoka kimara baruti hadi chuo udsm ni hatari tupu,

Kiwanja hata 20x20 hakifiki na kimezungumwa na makazi ya watu..

Ivi takukuru kuna namna wanaweza pokea rushwa?
 
Back
Top Bottom