chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
Nadhani kama nchi tunahitaji mjadala, kama mtu wa hadhi ya uwaziri anasema mshahara wa baba yake umemfanya awe tajiri, hizi ni fikra finyu kabisa kuwahi kutamkwa na kiongozi wa ngazi ya kitaifa.
Pengine anawaona wanaotafuta ajira ni wapuuzi kwa kuwa baba zao ni waajiriwa. Hataweza kuwasaidia na kusaidia taifa kutatua tatizo la ajira. Mshahara wa baba unamfanyaje mtoto awe tajiri?
Baba kapokea mshahara, kaleta mchele na mboga, kwako hiyo ni toosha kutamba wewe tajiri