Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Jamaa ana vibali vyoteKile kituo cha Mafuta pale kilipo hakina neno maskini ya Mungu ni unshomilee tu ndio umezingua, bahati nzuri hii dunia kuna ile kanuni ya kutoa muda, na hili la jamaa zetu wa Barrer tutoe muda
Yaani hujasema, mpaka useme, nyambiti weweChinembe. Hata kuandika hujui hilo neno ni la lugha gani? Sasa mimi Genius ngoja nikufundishe.... Ulidhani una hoja kumbe umeleta kioja. Kilaza wewe unatumia hata maneno ambayo unadhani ya english kumbe ni ukilaza wako hujui.
Halafu waziri wa ardhi anasimamishaje leseni iliyotolewa na Ewura kwamba biashara ya mafuta ifanyike hapo? Leseni za manispaa, TRA, NEMC, na taasisi lukuki? Na hawa walitoa leseni hizo baada ya wizara ya Jerry Silaa kuwaambia hapo panaweza kujengwa kituo cha mafuta na akabadilo matumizi ya ardhi.Anatajwa mtu mmoja tu waziri. hivi hatuna taasisi zinazosimamia haya mambo!!? Mtu mmoja hawezi peke yake kwenye biashara kuna mambo yamejificha nyuma yake.
Mwenzie JPM alivunja vituo viwili vya mafuta, tukalipishwa..!! Kimoja ni kile cha Total pale mlimani city DSM na kile cha Mwanza..!!Wizara yake ndio ilitoa vibali vyote kijengwe, anamlaumu nani? Kama yeye mwanaume, basi akivunie
KabisaPana wakati ukitaka kwenda mjini kutokea Magomeni vituo vya kujazia ni Jangwani, Fire na Kisutu (hizo zilikuwa enzi za Mwinyi).
Foleni yake sasa ya kupata mafuta na usumbufu kwa madereva wengine wanaoenda mjini inaanzia Magomeni mpaka Kisutu, huku nako njia ya fire kwenda Kariakoo ni shida tupu.
Watanzania hatuelewi madhara ya haya maamuzi kwa sababu vituo bwerere kila kona ukitaka mafuta kona kadhaa tu. Sasa leo migari iliyojaa Dar unafikiria kupunguza vituo vya mafuta.
Ngoja watekeleze huo upuuzi ndio mjue madhara yake.
Hakuna muongozo wa kujenga vituo vya mafuta? Kelele zote hizi za nini?Pana wakati ukitaka kwenda mjini kutokea Magomeni vituo vya kujazia ni Jangwani, Fire na Kisutu (hizo zilikuwa enzi za Mwinyi).
Foleni yake sasa ya kupata mafuta na usumbufu kwa madereva wengine wanaoenda mjini inaanzia Magomeni mpaka Kisutu, huku nako njia ya fire kwenda Kariakoo ni shida tupu.
Watanzania hatuelewi madhara ya haya maamuzi kwa sababu vituo bwerere kila kona ukitaka mafuta kona kadhaa tu. Sasa leo migari iliyojaa Dar unafikiria kupunguza vituo vya mafuta.
Ngoja watekeleze huo upuuzi ndio mjue madhara yake.
Wote Wote Popote WalipoWahaya wote ni tatizo asee
Tetemeko lilitokea wakati wa chizi jiwe. Yule alikuwa hana ubinadamu. Tuweke siku ya kitaifa ya kulichapa viboko kaburi lake kichaa yule.Juzi juzi mafuriko ya Hanang nasikia wahanga wote wanafidiwa. Ilipotokea maafa ya tetemeko Kagera tuliambiwa hajaletwa na CCM au Serikali. Sasa wakati mwingine setkali nayo inachangia kuididimiza Kagera kwa makusudi kabisa
Ngoja nikachekee chooniTibaijuka amepiga kambi Kawe akijiandaa kumng'oa Gwajima '25!
Anachokifanya ni warm up!
Hakuna muongozo wa kujenga vituo vya mafuta? Kelele zote hizi za nini?