Dar: Wananchi wamelalamikia kujengwa kwa Kituo cha kuuza mafuta cha Barrel Petrol Station karibu na makazi yao

Dar: Wananchi wamelalamikia kujengwa kwa Kituo cha kuuza mafuta cha Barrel Petrol Station karibu na makazi yao

Chinembe. Hata kuandika hujui hilo neno ni la lugha gani? Sasa mimi Genius ngoja nikufundishe.... Ulidhani una hoja kumbe umeleta kioja. Kilaza wewe unatumia hata maneno ambayo unadhani ya english kumbe ni ukilaza wako hujui.
Yaani hujasema, mpaka useme, nyambiti wewe
 
Anatajwa mtu mmoja tu waziri. hivi hatuna taasisi zinazosimamia haya mambo!!? Mtu mmoja hawezi peke yake kwenye biashara kuna mambo yamejificha nyuma yake.
 
Mtoa mada ni aina ya watu ambao wanaweza toa kafara binadamu mwenzake kwa sababu ya njaa. Ni mtu wa hovyo sana.
 
Huyo aliyetaka kutoa milioni 300 yupo wapi?
Kushawishi kutoa rushwa ni kosa kisheria.
Tunataka kujua kama kuna kesi imeshafunguliwa otherwise itakuwa ni kutafuta kiki kwa pikipiki.
 
Anatajwa mtu mmoja tu waziri. hivi hatuna taasisi zinazosimamia haya mambo!!? Mtu mmoja hawezi peke yake kwenye biashara kuna mambo yamejificha nyuma yake.
Halafu waziri wa ardhi anasimamishaje leseni iliyotolewa na Ewura kwamba biashara ya mafuta ifanyike hapo? Leseni za manispaa, TRA, NEMC, na taasisi lukuki? Na hawa walitoa leseni hizo baada ya wizara ya Jerry Silaa kuwaambia hapo panaweza kujengwa kituo cha mafuta na akabadilo matumizi ya ardhi.

Yaani mtu mmoja anaathiri maslahi ya wizara karibu tano? Tena bila kuzishirikisha?
 
Hivi kuna mtu angefungua kituo cha mafuta kama hakuna magari ya kujazia.

Gharama tu za mishahara, uwezekaji, tozo za serikali ambazo uuze usiuze lazima ulipe, mkopo wa bank na admin costs nyingine ambazo wauza mafuta wanaweza tutajia kwa kina.

Mpaka watu watake kuwekeza huko kuna demand ya kutosha.

AB43AA01-00EF-4755-9479-4ED86A7F0ED0.jpeg

Takwimu zinaonyesha kuanzia 2007 mpaka 2015 kwa mwaka zaidi ya magari laki 3 yanasajiliwa kila mwaka.

Hivi unadhani bila ya nyongeza ya vituo si ingekuwa foleni kwenye kujaza, inconvenience ya kufuata vituo mbali na unapoishi, si ajabu wengi wenu wenye magari mngekuwa mnatembea na madumu spare kwa sababu ya umbali wa vituo.

Sasa kuanzia 2015 mpaka 2023 si ajabu kila mwaka nchi imepita registration ya magari laki nne kwa mwaka.

Watanzania huwa wanalalamikia vitu vyenye faida kwao, mpaka watu wanapofanya maamuzi ya kijinga huko serikalini wakishaanza kuona madhara yake wanaanza kulalamika.

Ni ujinga kupambana na wawekezaji kwa sababu za ovyo, kuna safety measures ya hivyo vituo kunapo madhara ya mlipuko; hawapewi tu vibali kiholela na EWURA.
 
rushwa ni adui mkubwa si kiimani wala kiserikali. Hata kama bwana mdogo atakuwa amekosea lakini mstari wa haki anaujua unapotakiwa uwepo. Mimi nafurahi sana kuona vijana tunakuwa wajasiri na wawazi pale tunapoaminiwa na mheshimiwa Rais. Yupo vizuri na kazi zake ni nzuri.....hizo ndizo kodi za dhurma ambazo mheshimiwa Rais anazikataa au labda Mh Rais abadili gia angani ale matapiko yake....ahalalishe dhambi kuwa haki..Waziri wa ardhi apige kazi vijana wengine wajifunze namna ya kufanya kazi pale watakapoaminiwa
 
Kidogo nahisi kuna maslahi unapata pale kama sio wewe moja kwa moja kuna ndugu au rafiki yako wa karibu ananufaika na uwepo wa kile kituo pale acha sheria na taratibu zifuatwe
 
Pana wakati ukitaka kwenda mjini kutokea Magomeni vituo vya kujazia ni Jangwani, Fire na Kisutu (hizo zilikuwa enzi za Mwinyi).

Foleni yake sasa ya kupata mafuta na usumbufu kwa madereva wengine wanaoenda mjini inaanzia Magomeni mpaka Kisutu, huku nako njia ya fire kwenda Kariakoo ni shida tupu.

Watanzania hatuelewi madhara ya haya maamuzi kwa sababu vituo bwerere kila kona ukitaka mafuta kona kadhaa tu. Sasa leo migari iliyojaa Dar unafikiria kupunguza vituo vya mafuta.

Ngoja watekeleze huo upuuzi ndio mjue madhara yake.
 
Kabisa
 
Hakuna muongozo wa kujenga vituo vya mafuta? Kelele zote hizi za nini?
 
Maisha mbele kwa mbele ,jalokuwa wana madhaifu yao ila wahaya sio kwamba hawataki kwao kama unabisha angalia zile ndege pale kutwa ni wao ila ukienda airport nyingine wengi ni wazungu kama Arusha , Kilimanjaro.

Bukoba wapo wahaya na wengi haswa waliosoma wameajiriwa nje ya mkoa kwa sababu ndani hakuna fursa za kutosha ,sasa mtu kaajiriwa Udsm pale unataka akajenge Bukoba kwa nn tena ? Kama wazazi waliomzaa wamashindwa basi .

Familia yake ipo hapa Dar na riziki zake anapata hapa kwa nn asijenge hapa.

Hiyo marekani imejengwa na watu kutoka mataifa mbalimbali kulingana na fursa zilizopo.

Unaweza kuwasema kwao maskini ila ukienda mbweni ,mbezi beach , kigambano wameshusha mijengo .
 
Juzi juzi mafuriko ya Hanang nasikia wahanga wote wanafidiwa. Ilipotokea maafa ya tetemeko Kagera tuliambiwa hajaletwa na CCM au Serikali. Sasa wakati mwingine setkali nayo inachangia kuididimiza Kagera kwa makusudi kabisa
Tetemeko lilitokea wakati wa chizi jiwe. Yule alikuwa hana ubinadamu. Tuweke siku ya kitaifa ya kulichapa viboko kaburi lake kichaa yule.
 
Hakuna muongozo wa kujenga vituo vya mafuta? Kelele zote hizi za nini?
D668A10B-8E96-4F26-9B90-C8DBE4A51D6B.jpeg

Bahati nzuri wengine tumewahi tembelea nchi za wenzetu. Hiyo ni U.K. eneo la Tottenham ndani ya 3 miles radius vituo vilivyopo. Na Tottenham ni residential area. Acha kituo cha mafuta uwanja wa mpira hupo ndani kabisa ya residential area.

Issue sio kituo cha mafuta kiko wapi, swala la msingi ni safety precautionary measures unazotakiwa kuwekeza hili ujenge kituo cha mafuta na EWURA hawana mzaha na hilo.

Nchi yenyewe maskini, ina madeni luluki. Halafu unakuta waziri ambae anapambana kupoteza mapato ya serikali, investment za wenzake na ajira za watu kwa mtazamo wake wa kishamba.

Utitiri wa vituo vya mafuta ni matatizo ya wafanyabiashara wenyewe kwenye ushindani hakuna faida funga; lakini hizo sio shida za serikali ili mradi vigezo vya usalama vimezingatiwa.

Ningeelewa kama hoja ni poor safety measures za hivyo vituo; lakini sio mahala vilipo.
 
Back
Top Bottom