Dar: Wananchi wamelalamikia kujengwa kwa Kituo cha kuuza mafuta cha Barrel Petrol Station karibu na makazi yao

Ungetumia akili basi hata kidogo. Si kila jambo la kupinga au kushabikia. Vituo vya mafuta vinapaswa viwe maeneo yake pia kila jambo linapaswa kuwa katika mipango
Mafisadi wana UCHU SANA eti kodi, tangu lini fisadi hulipa kodi kwa usahihi?
Kwanini wahonge 300m kama hawana hatia?
Kwanini wajenge kinyume ña taratibu?
 
Kuna ka "ujinga" kanapita mitandaoni eti kuna watu walijaribu kumuhonga waziri Jerry Silaa. Takukuru wapo, na namba zao anazo, na huwa wanaweka mitego kunasa watoa rushwa.

Waziri ni kiongozi wa ngazi ya kitaifa, ana namba ya boss wa takukuru, kwa nini hakuweka mtego?

Walijadiliana halafu hazikutosha akaona awahi kuwalipua? Aliwaomba hizo hela wakasema hawana akaona awawahi?

Waziri analalamika, wanajimbo wake wafanyeje? Waziri yuko karibu na kila taasisi?

Huyu ataongoza vita ya rushwa wizara ya ardhi wakati hajui sehemu ya kuripoti rushwa?

Useless,aliomba akanyimwa, mawaziri vijana, acheni tamaa, Samia,kazi kwako.

Naona kaitisha umiliki wa ardhi wa vituo vya mafuta nchi nzima, maokoto yake sio mchezo, kamishna wa ardhi atakayepeleka maokoto mengi ndiye atadumu. Anadhani watampa hela za bure (rushwa) ili asivunje vituo vyao

Ajue tu, kodi ya mafuta ndio injini ya bajeti, na mafuta yameangusha wanasiasa wa mashariki ya kati, kabla hajaangusha serikali ya samia, ataanguka yeye. Kama kajipanganga kubomoa vituo vya mafuta nchi nzima, nchi nzima itambomoa yeye.
 
Waziri Jerry Slaa rudisha heshima ya Wamburu
Yule Slaa Dr mihogo aliharibu heshima iliyo asisiwa na Mburu Bw SARAWATI aliye simamia haki mpaka Julius Kambarage Nyerere alimbania uhuru wake

Jerry Slaa shikilia hapohapo!!!

Sokoinemdogo wewe Kwa Sasa
Mungu akulinde
Dk. Slaa wa chadema ambaye alienda kuchukua mpunga(rushwa) wake rwanda akiwa na lipumba baada ya kuisaliti ukawa?
 
Kuna ka "ujinga" kanapita mitandaoni eti kuna watu walijaribu kumuhonga waziri Jerry Silaa. Takukuru wapo, na namba zao anazo, na huwa wanaweka mitego kunasa watoa rushwa.

Waziri ni kiongozi wa ngazi ya kitaifa, ana namba ya boss wa takukuru, kwa nini hakuweka mtego?

Walijadiliana halafu hazikutosha akaona awahi kuwalipua? Aliwaomba hizo hela wakasema hawana akaona awawahi?

Waziri analalamika, wanajimbo wake wafanyeje? Waziri yuko karibu na kila taasisi?

Huyu ataongoza vita ya rushwa wizara ya ardhi wakati hajui sehemu ya kuripoti rushwa?

Useless,aliomba akanyimwa, mawaziri vijana, acheni tamaa, Samia,kazi kwako.

Naona kaitisha umiliki wa ardhi wa vituo vya mafuta nchi nzima, maokoto yake sio mchezo, kamishna wa ardhi atakayepeleka maokoto mengi ndiye atadumu. Anadhani watampa hela za bure (rushwa) ili asivunje vituo vyao

Ajue tu, kodi ya mafuta ndio injini ya bajeti, na mafuta yameangusha wanasiasa wa mashariki ya kati, kabla hajaangusha serikali ya samia, ataanguka yeye. Kama kajipanganga kubomoa vituo vya mafuta nchi nzima, nchi nzima itambomoa yeye.
 
Nchi inahitaji kodi kuliko chochote, kuliko hata uwaziri wa Jerry Silaa. Bora Silaa aondoke kituo cha mafuta kibaki, vikodi vya mshahara wa Silaa havifiki milioni 10 kwa mwezi, kituo cha mafuta kinaweza kuingiza hata milioni 500 kwa mwezi.

Hata kliniki za ardhi ni njia yake ya kutegeshea rushwa

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kituo cha mafuta kiingize kodi ya mil 500 kwa mwezi. Hakuna kituo cha mafuta nchi hii kinaweza ingiza kodi hata robo ya mil 500 hakuna? Hizi data mnazipataga wapi ? Muwe mnajaribu ku research kidogo wakuu
 
Nasubiria comment ya kumshukuru Rais aidha ya kumchagua au kumtumbua waziri kutokana na kazi zake!!!!
 
Kuna ka "ujinga" kanapita mitandaoni eti kuna watu walijaribu kumuhonga waziri Jerry Silaa. Takukuru wapo, na namba zao anazo, na huwa wanaweka mitego kunasa watoa rushwa.

Waziri ni kiongozi wa ngazi ya kitaifa, ana namba ya boss wa takukuru, kwa nini hakuweka mtego?

Walijadiliana halafu hazikutosha akaona awahi kuwalipua? Aliwaomba hizo hela wakasema hawana akaona awawahi?

Waziri analalamika, wanajimbo wake wafanyeje? Waziri yuko karibu na kila taasisi?

Huyu ataongoza vita ya rushwa wizara ya ardhi wakati hajui sehemu ya kuripoti rushwa?

Useless,aliomba akanyimwa, mawaziri vijana, acheni tamaa, Samia,kazi kwako.

Naona kaitisha umiliki wa ardhi wa vituo vya mafuta nchi nzima, maokoto yake sio mchezo, kamishna wa ardhi atakayepeleka maokoto mengi ndiye atadumu. Anadhani watampa hela za bure (rushwa) ili asivunje vituo vyao

Ajue tu, kodi ya mafuta ndio injini ya bajeti, na mafuta yameangusha wanasiasa wa mashariki ya kati, kabla hajaangusha serikali ya samia, ataanguka yeye. Kama kajipanganga kubomoa vituo vya mafuta nchi nzima, nchi nzima itambomoa yeye.
Mama kakusanya kundi la wasanii!
 
Kuna SHERIA wapi kituo kiwepo sio kujenga tu kisa mil 500
Mkuu kwa hivi sasa kwa Dar es salaam hakuna sehemu inayostahili kujengwa Kituo cha mafuta.

Pili, nipe au nitajie madhara, matukio hatari au adhari dhahiri ya ujenzi/ uwepo wa Kituo cha mafuta ambayo yametokea kwenye makazi ya watu ndani ya Mika 10 iliyopita.

Shida ni fikra za ujamaa na chuki binafsi tu, after all kituo cha mafuta ni huduma muhimu sana kwa jamii!
 
Nchi yetu ni muhimu kuliko yeyote.Mwekezaji asiefuata taratibu,sheria,kanuni na mila Za nchi hatufai..

Ifike wakati kila mmoja wetu awajibike Kwa mujibu wa Matakwa ya Katiba,utaratibu na sheria au miongozo ya nchi..Juzi tulikuwa na Mh Lukuvi,Leo tuna Slaa,Yamkini kesho tukawa na Mwambukusi..Au Vivek..

Upindishaji wa mambo na shortcuts gharama yake ni kubwa.Yamkini Una vinasaba na utawala A,B,C.. ipo Siku utakuja utawala D ulio kinyume na urafiki/kujuana/Rushwa/ufisadi..ikiwa uliishi kinyume au kufanya biashara Kwa kupendelewa au kufumbiwa macho lazima kuwe na vilio na kisaga meno..
 
Back
Top Bottom