Waterbender
JF-Expert Member
- Oct 2, 2018
- 7,573
- 10,063
si ndo hapo sasa, mm nashangaa Mpaka vingozi wa afya wanatia attention kubwaa ya kuogoflaaa, Mwili wenye afya hauwez kukaa na red eye disease zaidi ya week mbili,Ule ugonjwa ata usipoutibu unapona wenyewe ni kunawa uso tu na soap
Tafuna carrot, matango, maji kwa wingi ebupa vitu ya sukari nyingi basi, sasa watu wanaweka limao kwenye macho😲!!? Unaongeza acidity level kwenye jicho kwann usipofukee