Kindeena
JF-Expert Member
- Sep 27, 2017
- 11,462
- 21,124
Sijui sababu ila mimi niliupata kati ya 2011-2012 nikiwa UDSM.Waungwana, Swali ninalojiuliza hadi sasa hivi, kwa nini huu ugonjwa ukishakupata halafu ukapona, ni kwanini haurudii kukupata tena !!?🤔
Sikuwahi kuupata tena.