Buyuni Kwetu
JF-Expert Member
- Sep 29, 2013
- 2,120
- 2,153
π€£π€£π€£ wakomeshe kabisaKwahiyo kuja mjini ni kosa..??
Basi ndo nalala stendi sasa ili niwakomeshe...π
π€£π€£π€£π€£Kwahiyo kuja mjini ni kosa..??
Basi ndo nalala stendi sasa ili niwakomeshe...π
Yaani mgeni akija ndio akulishe? Watu wa Dar dhiki sana.Mtume!!! Hela ni za kwako kwa nini unaenda kusumbua watu wengine? Tena mjini!!!! Au hufahamu msemo wa "mgeni njoo mwenyeji apone"?
Unakaa kwa shemeji zako utamsaidaia nini zaidi kumuomba pesa?Weka namba mkuu
Labda Haki Elimu Ngwee! Ngwee!ππNdio mkuu, ni ndugu yangu wa karibu sana haki...
Umejuaje?Unakaa kwa shemeji zako utamsaidaia nini zaidi kumuomba pesa?
Akili kisoda utakuwa kwako?Umejuaje?
Sabuni huwa haichafuki. Shida nini kuogea sabuni ya kuoshea vyombo?Na jinsi ulivyokuwa unapiga mswaki na taulo barabarini mbele nyumba, halafu bado hawajaua ulichukua kipande cha sabuni ya kuoshea vyombo uani ukaogea na kuirudisha kimyakimya.....
Kwa kweli ilibidi tu wakutoe mkuku.....
Sikua na taulo mkuu, nilikuna na kaniki "shuka jeusi" na mswaki wa gome "mti"Na jinsi ulivyokuwa unapiga mswaki na taulo barabarini mbele nyumba, halafu bado hawajaua ulichukua kipande cha sabuni ya kuoshea vyombo uani ukaogea na kuirudisha kimyakimya.....
Kwa kweli ilibidi tu wakutoe mkuku.....
Sawa Mkuu utaishi miaka 100+Akili kisoda utakuwa kwako?
π€£π€£π€£Sikua na taulo mkuu, nilikuna na kaniki "shuka jeusi" na mswaki wa gome "mti"
Na bahati nzuri tangu nifike sikuoga, kwahiyo sabuni yao sikuitumia kabisa...π€
Punguzeni roho mbaya mkuu, kwani nisipo oga mwili ni wenu..??π€£π€£π€£
Kwa hiyo na joto lote la Dar , ulikuwa unapiga passport size....
Basi uliwachosha na vituko vingi mpaka wakakuchoka....
Ndio maana kesho yake nilipopita jikoni nikaona wametenga kafugo kadogo, niliamua kubadilisha nikaongeza na maji.....π€£π€£π€£ wakomeshe kabisa
π€£π€£π€£π€£
Mkuu, kwani hela ni zangu ama zao??
Mie nimeuza ng'ombe, lakini nauli ya kurudia kijijini walitakiwa wanipe wao...πͺ