share
JF-Expert Member
- Nov 22, 2008
- 6,064
- 10,468
😀😀😀Ndio, ni box la kutunzia hela...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😀😀😀Ndio, ni box la kutunzia hela...
Wataweza, usikute walishakimbia na kujificha chini ya kitanda ama mezaSubri waje watu wa daslam
Ili iweje?Sawa Mkuu utaishi miaka 100+
[emoji38][emoji38][emoji38]! Mkuu nimeuunga unga huo undugu wako kwa wenyeji wako nimeishia kucheka tu!Huyu jamaa ni ndugu yangu wa karibu kabisa. Yaani ni mjukuu wa shemeji yake na binamu wa mamaangu wa kambo.
Ni siku ya tatu sasa tangu nifike hapa mjini, baada ya kuuza ng'ombe nikaona sio mbaya nikaosha kidogo macho na ning'arishe ngozi kwa maji ya mwambao.
Sasa nilifikia kwa huyu ndugu yangu wa karibu kabisa. Kwakweli walinikaribisha uzuri na sote tulifurahi na kukumbushana habari za majirani wa kule kijijini, siku hiyo walinitandikia jikoni na nikalala bila tatizo hadi ikawa asubuhi.
Nilipo amka nikakuta sebleni wameweka chai mezani na kamkate kamoja, mie nikakakata vipande viwili nikaloweka kwenye chai nika kakula kakaisha. Kwanza chai yenyewe niliona niweke kwenye bakuli la kunawia na ikaishia humo, maana tuvikombe niliona twa watoto.
Kisha nikaondoka nikaenda kwenye genge la jirani nikanunua viazi ili nikazie maana nilikua sijashiba.
Mchana nilipo rudi, nikakuta ugali umepikwa kidogo kama kilo mbili tu, mie nikaula ukaisha na ile mboga nikamaliza yote hadi mchuzi nikaunywa.
Sasa nilipo rudi jioni nikawekewa kikao na mke wa ndugu yangu kwamba nina tabia mbaya, nami nikamuuliza "tabia gani"? Akajibu kwamba sifai kukaa kwake, basi nikasema kwamba hakuna tatizo. Nikaenda kulala na kwakua ndugu yangu alichelewa kurudi, yule mama akaniambia kesho ananiaga na niondoke.
Mie huyooo nikaingia jikoni, nikawapanga kuku wao pale nami nikaweka tandiko nikalala. Kesho yake palipokucha nikawahi kuamka asubuhi nikijua leo ninaagwa, basi nikakamata jogoo (kama desturi yetu kule kijijini tunapo muaga mgeni) nikamchinja na nikamuweka kwenye beseni nikisubiri wenyeji wangu waamke wanipikie kuku ili nile niondoke.
Lahaula! Kilicho tokea baada ya wenyeji wangu kuamka ni siri yangu wakuu. Ila kumbe watu wa Daslam mnaroho mbaya sana wallah, na hamtokaa mnione tena ndio mtajuta..[emoji2955][emoji58]
Sijui kwa nini hata kwenye thread za mambo ya utani huwa unakuwa na negative perceptions kama kule kwenye Jukwaa la Siasa na u-CCM wako. Kwa taarifa yako mimi niko Jiji la Mwanza lenye kila aina ya chakula.Yaani mgeni akija ndio akulishe? Watu wa Dar dhiki sana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],Kweli wewe una tabia mbaya hata huyo mwenyeji wako ana moyo sana.Hivi unawezaje kuamka asubuhi na kukamata kuku wa mwenyeji wako na kisha kumchinja bila kuruhusiwa na mwenyeji wako??,Halafu inaonekana unakula Sana[emoji23][emoji23],Hivi unga kilo mbili unajua ugari unakuwa mkubwa sana!!!,Kwa ulaji huo ilipaswa ubebe debe la unga na maharage umpelekee mwenyeji wako.Halafu huo undugu ni wa mbali sana.Huyu jamaa ni ndugu yangu wa karibu kabisa. Yaani ni mjukuu wa shemeji yake na binamu wa mamaangu wa kambo.
Ni siku ya tatu sasa tangu nifike hapa mjini, baada ya kuuza ng'ombe nikaona sio mbaya nikaosha kidogo macho na ning'arishe ngozi kwa maji ya mwambao.
Sasa nilifikia kwa huyu ndugu yangu wa karibu kabisa. Kwakweli walinikaribisha uzuri na sote tulifurahi na kukumbushana habari za majirani wa kule kijijini, siku hiyo walinitandikia jikoni na nikalala bila tatizo hadi ikawa asubuhi.
Nilipo amka nikakuta sebleni wameweka chai mezani na kamkate kamoja, mie nikakakata vipande viwili nikaloweka kwenye chai nika kakula kakaisha. Kwanza chai yenyewe niliona niweke kwenye bakuli la kunawia na ikaishia humo, maana tuvikombe niliona twa watoto.
Kisha nikaondoka nikaenda kwenye genge la jirani nikanunua viazi ili nikazie maana nilikua sijashiba.
Mchana nilipo rudi, nikakuta ugali umepikwa kidogo kama kilo mbili tu, mie nikaula ukaisha na ile mboga nikamaliza yote hadi mchuzi nikaunywa.
Sasa nilipo rudi jioni nikawekewa kikao na mke wa ndugu yangu kwamba nina tabia mbaya, nami nikamuuliza "tabia gani"? Akajibu kwamba sifai kukaa kwake, basi nikasema kwamba hakuna tatizo. Nikaenda kulala na kwakua ndugu yangu alichelewa kurudi, yule mama akaniambia kesho ananiaga na niondoke.
Mie huyooo nikaingia jikoni, nikawapanga kuku wao pale nami nikaweka tandiko nikalala. Kesho yake palipokucha nikawahi kuamka asubuhi nikijua leo ninaagwa, basi nikakamata jogoo (kama desturi yetu kule kijijini tunapo muaga mgeni) nikamchinja na nikamuweka kwenye beseni nikisubiri wenyeji wangu waamke wanipikie kuku ili nile niondoke.
Lahaula! Kilicho tokea baada ya wenyeji wangu kuamka ni siri yangu wakuu. Ila kumbe watu wa Daslam mnaroho mbaya sana wallah, na hamtokaa mnione tena ndio mtajuta..[emoji2955][emoji58]
Unatokea Ushirombo,maeneo gani Mkuu??Nimesha ondoka kwenu, kesho narudi zangu Ushirombo.....
Hatufahamiani mkuu, niliambiwa tu kwamba nikifika Dar nimtafute.[emoji38][emoji38][emoji38]! Mkuu nimeuunga unga huo undugu wako kwa wenyeji wako nimeishia kucheka tu!
Ni mjukuu wa shemeji yake na binamu wa mamako wa kambo!
Mlikuwa mnafahamiana kabla?
Asante sana mkuu, hapa nipo safarini tayari tunaelekea Pandambili. Nimepanda Frester Bus la kwenda Bukoba. Na muhindi nimenunua wa kuchemsha nakula polepole....Safari njema mkuu! Mungu akutangulie katika safari yako ili uweze kufika salama [emoji120]
Kwani hawakujua kama mimi ni mgeni hadi nijichinjie kuku..??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],Kweli wewe una tabia mbaya hata huyo mwenyeji wako ana moyo sana.Hivi unawezaje kuamka asubuhi na kukamata kuku wa mwenyeji wako na kisha kumchinja bila kuruhusiwa na mwenyeji wako??,Halafu inaonekana unakula Sana[emoji23][emoji23],Hivi unga kilo mbili unajua ugari unakuwa mkubwa sana!!!,Kwa ulaji huo ilipaswa ubebe debe la unga na maharage umpelekee mwenyeji wako.Halafu huo undugu ni wa mbali sana.