Hannah
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 9,679
- 39,087
Ewaaaahh ndugu wa karibu kabisa."Yaani ni mjukuu wa shemeji yake na binamu wa mamaangu wa kambo."
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ewaaaahh ndugu wa karibu kabisa."Yaani ni mjukuu wa shemeji yake na binamu wa mamaangu wa kambo."
Cha msingi isibaki na nywele tu.Sabuni huwa haichafuki. Shida nini kuogea sabuni ya kuoshea vyombo?
Usipo lipa mbavu zangu leo sijui[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unasemea yupi??
Ama yule nilie mkimbiza, nikajikwaa nikaangukia sinia la wali skuzile pale msibani...??
Kuna siku nategemea kwenda Ngara, hivyo nitapita hapo nikucheki.Nipo tauni kabisa, pale Kashelo senta ukipita Katente, kama unaelekea Namba 1
Mkuu, kama huko Daslam hamli, basi ngoja tusiwatembelee ili tuwakomeshe...😕Mchana nilipo rudi, nikakuta ugali umepikwa kidogo kama kilo mbili tu, mie nikaula ukaisha na ile mboga nikamaliza yeto hadi mchuzi nikaunywa.
[emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115]
Hapo umetufunga kamba mkuu yani wapike kilo mbili na bado uone ni kidogo na .... kwa luga nyingine unataka kusema unakula ugali kilo mbili mkuu .... samahqni lakini kwani hilo ni tumbo au
Kikubwa uwe makini usije ukatunzwe kama yule Diwani[emoji3][emoji3][emoji3]Asante sana mh mjumbe, huo mji ni noma sana wallah...[emoji1787]
Diwani nimempa heshma yake...🤣🤣Kikubwa uwe makini usije ukatunzwe kama yule Diwani[emoji3][emoji3][emoji3]
"Karibu Tanzania, nchi ambayo mtu anatunzwa kwa miezi 2 bila kuonekana"Diwani nimempa heshma yake...[emoji1787][emoji1787]
Yaani miezi mbili amelewa, na alipo onekana akatibiwe...[emoji12][emoji12].... ila Muliro kweli bingwa wa sinema hata zakihindi zikasome...[emoji87]