Dar watu wana roho mbaya sana, nimeamua nikalale stendi kesho nirudi zangu mkoani

Sikua na taulo mkuu, nilikuna na kaniki "shuka jeusi" na mswaki wa gome "mti"
Na bahati nzuri tangu nifike sikuoga, kwahiyo sabuni yao sikuitumia kabisa...[emoji847]
...Unafikaga Kwa Watu huendi Hata na Unga ama Mfuko TU wa Sukari?
Tena Wamechelewa Kukuondoa...!!
 
Suluhisho hapo ni katiba mpya tu, si kingine.
Hapana mkuu...
Wenyeji wangu wametuma sms kijijini kwamba "tatizo ni vita ya Urusi na Ukraine"...😜😜
 
Kwani hawakujua kama mimi ni mgeni hadi nijichinjie kuku..??
Alafu ugali walikua wanapika mdogo sana mkuu, na kwao sikanyagi tena hadi wakome....[emoji53]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], Ulitaka ugari mkubwa,je ulibeba debe la unga ??.Mgeni kujichinjia kuku bila idhini ya mwenyeji ni fujo sio ustaarabu,hukufanya vizuri.Kwa hiyo na sisi tukija kwako tufanye hivyo hivyo???.
 
Najiuliza tu kama mlo moja anakula unga kilo mbili ...kwa siku akila milo mi 3 then zidisha mara 7 ndani ya wiki atakuwa amekula kilo ngapi [emoji848][emoji848][emoji848]
 
Hahahahaha.... umenichekesha sana mkuu!!
 
πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜mkongwe kilikujuta nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…