Dar yageuka `Sodoma` kwa ngono za wazi hadharani

Dar yageuka `Sodoma` kwa ngono za wazi hadharani

Nawapongeza wauzaji na wanunuzi, inaonyesha kwa namna gani wanajali afya zao. Ila mazingira ndio yanawashushia hadhi yenu
 
Chukua changu wako peleka guest ya heshma kula hadi uingie chumvini hakuna atakae kubughudhi.

mkuu huoni kuzama huko ni hatari unaweza pata gono aise halafu kutakuwa kama karai ukubwa mana kwa siku wanaume 50 inatakiwa moyo wa chuma
 
Hizi ni Picha nilizopiga jana mchana nilipotembelea eneo hilo. Ni jambo la kusikitisha na linachafua sura ya eneo la Mbagala.
Wewe kama kiongozi wa wananchi ulienda pale kupiga picha halafu ukarudi nyumbani kwa mkeo kurelax. Kwani ni kazi yako kupiga picha matukio au ni kazi ya mapaparazi?
 
We princess hujui kwamba nyie wanawake ndio mnasababisha tunachepuka. Mume anaomba uroda unampatia kama si haki yake vile. mara nyingine unasingizia kichwa au tumbo u kuchoka wakati ndume inataka kuimarisha ndoa. Kesho yake akitoka Darlive lazima apunguze genyege kabla ya kurudi home. bia ya leo buku 2 lazima atafute papuchi ya bei poa.

sasa mkuu wife akikuuzi si mnarekebishana mambo yenu sasa kwenda huko kwa machangu ndo solution au nayeye akiamua kuchepuka sasa
 
wauzaji na wanunuaji wote wamekata tamaa ya maisha
 
Hivi ni kweli kabisa imeshindikana kudhibiti haya mambo?
Lakini wanaume ndio wakulaumiwa sababu wakiacha kulipia huo uchafu basi hawa watu wangetafuta means nyingine ya kupata pesa.
Daaah! Inasikitisha sana sana.
 
Kazi hipo kutokomeza hii biashara maana kila kukicha inaongezeka maeneo mbalimbali ya jiji la Dar
 
hayajaanza leo mambo hayo ,toka siku nyingi yalikuwa yanafanyika kwenye gest ya mtangazaji mmoja wa Tv inaitwa MASAKU opposite na hilo eneo
 
Danganya wengine hizo picha sio Dar


Shukrani kwa uongozi JF na mods kwa kuweka picha hizo, mimi sikupenda kuziweka picha halisi kwa sababu muhimu ya kitaaluma pengine ningekuwa nimekiuka kanuni za JF. Thanks Mods.
 
Back
Top Bottom