Not at all. Aliyesemwa ni huyo na wala si mama.Mkuu tindo sikutegemea ungetumia maneno hayo maana umemtukana na mama yako mzazi, hata mkeo, kama umeoa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Not at all. Aliyesemwa ni huyo na wala si mama.Mkuu tindo sikutegemea ungetumia maneno hayo maana umemtukana na mama yako mzazi, hata mkeo, kama umeoa
Ni uzembe wenu, hata kwa risasi 16 mlimkosa.Akamatwe Huyu Akifikaaa Dar ivi kwanini Ahatarishe Maisha Ya watu Wengine huko Angani kwa Kukiukwa Sheriaa Mbona Anatupanda Vichwani huyuuuuuu Kibarakaa
Hawakumkosa kwani hawakutaka kumuua.Ni uzembe wenu, hata kwa risasi 16 mlimkosa.
Kadiri siku za kampeni zilivyokuwa zinsogea ndio ambavyo baadhi ya watu wamekuwa na uelewa na umuhimu wa kuifuta kijani Tz. Walikuwa hawaelewi somo kbs lkn maisha yamewawia magumu, wanapiga miayo yangu asubuhi hadi jioni hawajapata vibarua walivyozoea, wameamua kwa hiari yao kumalizana na kijani leo.Wakuu hapa tatizo linakuja kwa wazee tu maana wao wanahisi Mambo bado yako vile vile ni wagumu kinoma kuelewa but baadhi watakuwa wamebadilika kwa baadhi ya mikoa?
Na msiba ushaandaliwa kabisa, hakuna waliwezalo haoHawakumkosa kwani hawakutaka kumuua.
Dah sawa bro.Bro hiyo Ni picha yako profile??una hulka za kigashooo..nmekusifia lakini..Ni yeyee
Lissu akipata hata 10% tu mimi navua nguo hadharani. In other words, Lissu hawezi pata hata 10%.
Pole Lissu, ulijaribu ila ndo hivyo tena wananchi hawakukupenda kwa kutaka kuifanya Tanzania kuwa nchi ya mashoga kama wewe. Kachukue uraia wa Kenya na kalazimishe wakenya wawe mashoga uone itakuwaje.
Ni kweli hii nchi ni mali ya Mungu na ndiyo maana Mungu huyo huyo katuletea Magufuli kuja kutufungua macho watanzania na waafrika wapenda maendeleo. Nashukuru Magufuli kashinda tena uchaguzi aje kushikisha adabu watanzania wasiopenda kazi kama wewe, pole sana. Fanya kazi la sivyo utaishia kulala njaa na kumlalamikia Magufuli wakati tatizo ni lako wewe.Pole yako kampe Mkoloni mweusi huko Chato aliyetamani kutufanya wajinga milele wakati anajua fika kuwa hii nchi na mali ya Mungu na tulipewa watanzania wote ni mali yetu
Hizo 5 zimekoma leo kwa huyo mkoloni mweusi mpe pole yake
Ni kweli hii nchi ni mali ya Mungu na ndiyo maana Mungu huyo huyo katuletea Magufuli kuja kutufungua macho watanzania na waafrika wapenda maendeleo. Nashukuru Magufuli kashinda tena uchaguzi aje kushikisha adabu watanzania wasiopenda kazi kama wewe, pole sana. Fanya kazi la sivyo utaishia kulala njaa na kumlalamikia Magufuli wakati tatizo ni lako wewe.
Tundu Lissu aongoze Tanzania, una ndoto za hajabu kweli?Mungu hapendi watu waongo, wanafiki, wauaji wenye kujipenda wenyewe
Mkoloni mweusi ni baba wa mambo yote yasiyompendeza Mungu naye Mungu ameondoa pahali pake urais wake amepewa Tundu Lissu huyo ndiye mteule wa Mungu atakayeiongoza Tanzania kwa sasa
Tundu Lissu aongoze Tanzania, una ndoto za hajabu kweli?
Umesahau kuwa alikuwa anakampeni watanzania kuwa mashoga, na alikuwa anatetea wazungu waendelee kutuibia mali zetu (makinikia) huku akitishia serikali kuwa tutashitakiwa na mabwana zake kama tukikamata mali zetu zisiende nje ya nchi? Huyu ndiye rais kweli, mbona tulikamata mali zetu na hatujashitakiwa ila tunalipwa fidia na mabwana zake? kajipige vidole huko na wewe kama bado una hasira.Ana uwezo mkubwa sana kuliko huyo mjomba wenu