Dar: Yaliyojiri kuagwa kwa Mwili wa Hayati Dkt. Jonh Magufuli Uwanja wa Uhuru

Ipo siku utajutia kauli yako
 
Kuna wimbi ulikua unaimba wakati Mapadri wanaaga mwili unaimba "Eeh Bwana unifaadhili mimi"
Mwenye kuujua anipatie jina au link please 🙏
 
Hainiui mimi kwa sababu inaua ,nitakufa kwa namna ambayo Mungu ajuaye mwisho wangu na mwanzo wangu atataka nife. Hivyo tu.
Chukua tahadhari kama ambavyo unajilinda dhidi ya Malaria kwa kulala kwenye chandarua chenye dawa, au vile unavyovaa kondomu ukishiriki ngono, au vile unavyonawa mikono kabla ya kula kujikinga na magonjwa kama kipindupindu, au vile unavyokunywa maji yaliyochemshwa kujikinga na magonjwa kama typhoid na minyoo!

Chukua tahadhari pia dhidi ya corona!
 
 

Attachments

  • PicsArt_03-18-12.06.07.jpg
    91.6 KB · Views: 1
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…