Dar: Yaliyojiri kuagwa kwa Mwili wa Hayati Dkt. Jonh Magufuli Uwanja wa Uhuru

Umeenda kuaga!..pole sana kada ...inauma
Hapana sijaenda. Nimemuona kwa tv..
Mimi sio kada bali a true fan wa jiwe. mwadilifu kabisa..

Msiba huu naweza ufananisha kwa mbali na msiba wa baba yangu. Hii misiba miwili ndo nimetoa machozi nikilia usiku na mchana.

Huwa silii hata ndugu yangu akifa ( sijawahi fiwa na ndugu wa damu zaidi ya baba)
 
Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app

Pole sana...njia yetu moja
 
Huu wimbo wa magufuli ulioimbwa kisabato umeimbwa na kwaya gani??
 
or78yhntaij21.png

Wengi hatujanywa Chai
 
Watu wa kada za afya huwa tunajifanya wagumu kwenye misiba, miaka yangu 15 wodini nikiwaudumia wagonjwa kwenye siku zao za mwisho...nikadhani nimekomaa ila leo nimekuwa kama mtoto mdogo, jitihada zangu zakujificha wanangu na mke wangu wasijue kuwa nipo nalia zote zimegonga ukuta! Sikujua kama nilimpenda Magufuli kiasi hiki.
Baada ya kuwazika wazazi wangu wote nikiwa kijana mdogo sikujua kama ipo siku nitalia tena kama leo...
Wanaume huwa tunaficha hisia zetu, ila nimeshindwa!
Pumzika JPM, tutakutana kwa Muumba, natamani hii iwe comment yangu ya mwisho hapa JF...asante sana mama D kwa faraja zako!
 
Maisha ya binadamu hapa duniani ni Hadithi tu.Tuishi vyema ili siku yetu itakapofika tupate na sisi kusimuliwa vyema. BY AL HASSAN MWINYI
 
Watu wa kada za afya huwa tunajifanya wagumu kwenye misiba, miaka yangu 15 wodini nikiwaudumia wagonjwa kwenye siku zao za mwisho...nikadhani nimekomaa ila leo nimekuwa kama mtoto mdogo, jitihada zangu zakujificha wanangu na mke wangu wasijue kuwa nipo nalia zote zimegonga ukuta! Sikujua kama nilimpenda Magufuli kiasi hiki.
Baada ya kuwazika wazazi wangu wote nikiwa kijana mdogo sikujua kama ipo siku nitalia tena kama leo...
Wanaume huwa tunaficha hisia zetu, ila nimeshindwa!
Pumzika JPM, tutakutana kwa Muumba, natamani hii iwe comment yangu ya mwisho hapa JF...asante sana mama D kwa faraja zako!
Pole sana docta.
 
Meko msimpeleke visiwani. Watu wa kule wana hasira na yeye kawaumiza sana.
Nimeshawqpa tahadhari mapema msije mkasema sijawaambia
 
Kimbelembele sijawahi kusikia mwili ukiwafuata waombolezaji, ninavyojua waombolezaji hufuata msiba ulipo, kuwapelekea jeneza ni kuwalazimisha kuomboleza.

Kwanza nimeona wawakilishi wa Zanzibar wameshapita hapo Uhuru kutoa heshima zao.
 
Back
Top Bottom