Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
Hapana sijaenda. Nimemuona kwa tv..Umeenda kuaga!..pole sana kada ...inauma
Mimi sio kada bali a true fan wa jiwe. mwadilifu kabisa..
Msiba huu naweza ufananisha kwa mbali na msiba wa baba yangu. Hii misiba miwili ndo nimetoa machozi nikilia usiku na mchana.
Huwa silii hata ndugu yangu akifa ( sijawahi fiwa na ndugu wa damu zaidi ya baba)