Dar: Yaliyojiri kuagwa kwa Mwili wa Hayati Dkt. Jonh Magufuli Uwanja wa Uhuru

Dar: Yaliyojiri kuagwa kwa Mwili wa Hayati Dkt. Jonh Magufuli Uwanja wa Uhuru

Kwakweli, me namuomba madam president abadilishe DPP pia, huyu aliepo ni chanzo cha mrundikano wa cases nyingi mahakamani na pia akipenda amteue Prof. Mussa Asad kuwa Prime minister au Vice President.
assad..?
 
Baada ya Ibada ya kuuombea na kuuaga mwili wa aliyekuwa Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli kufanyika katika kanisa la St Peters Jiji Dar es Salaam sasa ni muda wa uwanja wa Uhuru Dar Es Salaam. Wananchi wamekusanyika kwa wingi kuuaga mwili wa aliyekuwa rais wa Tanzania

WAKAZI WA DAR WAJITOKEZA KUAGA MWILI WA RAIS MAGUFULI

Wakazi wa Dar wamejitokeza barabarani kumuaga aliyekuwa Rais wa Tanzania, Dkt. John Magufuli

Wameonekana kutandika Khanga barabarani, wengine walibeba mashada na mabango yenye ujumbe

----
Wakazi wa Dar wamejitokeza barabarani kumuaga aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli.

Wakazi wa Dar walionekana kutandika Khanga barabarani ili magari yaliyobeba mwili wa Hayati Magufuli yapite juu yake kuonesha heshima.

Wananchi wengine walikuwa wamebeba mashada ambayo walikuwa wakiyapunga mwili wa Marehemu ukiwa Unapita kuelekea Uwanja wa Uhuru.
View attachment 1729992View attachment 1729993View attachment 1729994View attachment 1729995

Hakika umetuachia historia yapekee nasi tutakuenzi daima pumzika kwa amani
 
This Tommorrow[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
 
Watu wa kada za afya huwa tunajifanya wagumu kwenye misiba, miaka yangu 15 wodini nikiwaudumia wagonjwa kwenye siku zao za mwisho...nikadhani nimekomaa ila leo nimekuwa kama mtoto mdogo, jitihada zangu zakujificha wanangu na mke wangu wasijue kuwa nipo nalia zote zimegonga ukuta! Sikujua kama nilimpenda Magufuli kiasi hiki.
Baada ya kuwazika wazazi wangu wote nikiwa kijana mdogo sikujua kama ipo siku nitalia tena kama leo...
Wanaume huwa tunaficha hisia zetu, ila nimeshindwa!
Pumzika JPM, tutakutana kwa Muumba, natamani hii iwe comment yangu ya mwisho hapa JF...asante sana mama D kwa faraja zako!

Tumshukuru sana Mungu kwa zawadi ya uhai wa John Pombe Joseph Magufuli kwa nchi yetu. Ametutoa pagumu sana, ametuthubitishia yaliyoambiwa hayawezekani yanawezekana kwa vitendo

Ametuachia viongozi makini aliowapika kuwa wazalendo kama yeye mwenyewe na ameacha wananchi wengi walio maskini wakiwa na cha kujivunia kwa nchi yao

Ameiheshimisha Tanzania duniani kote kwa kuondoa uhuru wa bendera na kurudisha misingi ya uhuru halisi

Ametuachia serikali makini chini ya aliyekua msaidizi wake makini Rais Samia Suluhu Hassan na wasaidizi wake wote

Ametuachia jamhuri ya muungano wa Tanzania iliyo imara, bunge imara, mahakama imara na jeshi imara.

Tumuombe Rais wetu Samia Suluhu Hassan aendeleze yale waliyoyaanza pamoja, na Mungu aendelee kumjaza hekma, ampe afya ya mwili, roho na akili katika kulitumikia taifa hili

Rest well our hero President John Pombe Magufuli 💔😭🙏

Pole sana Ndebile
 
Watu wa kada za afya huwa tunajifanya wagumu kwenye misiba, miaka yangu 15 wodini nikiwaudumia wagonjwa kwenye siku zao za mwisho...nikadhani nimekomaa ila leo nimekuwa kama mtoto mdogo, jitihada zangu zakujificha wanangu na mke wangu wasijue kuwa nipo nalia zote zimegonga ukuta! Sikujua kama nilimpenda Magufuli kiasi hiki.
Baada ya kuwazika wazazi wangu wote nikiwa kijana mdogo sikujua kama ipo siku nitalia tena kama leo...
Wanaume huwa tunaficha hisia zetu, ila nimeshindwa!
Pumzika JPM, tutakutana kwa Muumba, natamani hii iwe comment yangu ya mwisho hapa JF...asante sana mama D kwa faraja zako!
Chadwick Boseman alipokufa nililia sana japo nilimjua tu kwa kupitia muvi. Ila Magu daah tmpaka leo nipo Kwenye dozi naamini Magufuli anaweza kufa na watu.
Nilivyoona uzi jf wa Tanzia moyo ulienda mbio mwili ukachemka siku nzima ya alhamis nilishindwa kuinuka/kutembea. Niliwekewa drip 3😢

The reason baada ya Nyerere ni magufuli pekee niliyemuamini, I like to be Loyal. I was Loyal to JPm
 
Duhh... Hatari kweli!??
Watu wa kada za afya huwa tunajifanya wagumu kwenye misiba, miaka yangu 15 wodini nikiwaudumia wagonjwa kwenye siku zao za mwisho...nikadhani nimekomaa ila leo nimekuwa kama mtoto mdogo, jitihada zangu zakujificha wanangu na mke wangu wasijue kuwa nipo nalia zote zimegonga ukuta! Sikujua kama nilimpenda Magufuli kiasi hiki.
Baada ya kuwazika wazazi wangu wote nikiwa kijana mdogo sikujua kama ipo siku nitalia tena kama leo...
Wanaume huwa tunaficha hisia zetu, ila nimeshindwa!
Pumzika JPM, tutakutana kwa Muumba, natamani hii iwe comment yangu ya mwisho hapa JF...asante sana mama D kwa faraja zako!
 
Raha ya milele umpe Ee bwana, na mwanga wa milele UMWANGAZIE.
 
Maneno ya kuongea sina nabaki kulia lakini nakumbuka neno moja ambalo halitakuja kunitoka maishani, alisema tusimwache Mungu.
Mizania ya maneno haya haina mantiki maana Kama alituhusia tusimuache Mungu vipi juu ya kupotea kwa Ben Saanane Azory Gwanda na risasi 16 za Lissu? Je, huyu Mungu anakubaliana na haya waliyotendewa Hawa watu?
 
Ndio ninaelewa hilo... naelewa namna ulivyoguswa... moyo wako ni laini japo kabla hukuwa ukitegemea ungeguswa hivi. Ndio maana nasema huna moyo
Yes...last week nilikua naplan.ikitolkea niende kigoma nikale bata dah, nimejikuta sina hata hamu...inauma...ameenda mapema sana
 
Back
Top Bottom