Dar: Yaliyojiri kuagwa kwa Mwili wa Hayati Dkt. Jonh Magufuli Uwanja wa Uhuru

Dar: Yaliyojiri kuagwa kwa Mwili wa Hayati Dkt. Jonh Magufuli Uwanja wa Uhuru

Ageni mpendwa wenu. Tulioumizwa nae tuna hangover tunaenda kuzimua mapema maana mama katoa mapumzika jumatatu.

Kubwa zaidi tarehe 25 nayo tumepewa ni siku ya bia.

Tumenyanyaswa sana yaani.

Waachieni wanaoshikiliwa magerezani haraka wakazione familia zao
Ipo siku utajutia kauli yako
 
Kuna wimbi ulikua unaimba wakati Mapadri wanaaga mwili unaimba "Eeh Bwana unifaadhili mimi"
Mwenye kuujua anipatie jina au link please 🙏
 
Hainiui mimi kwa sababu inaua ,nitakufa kwa namna ambayo Mungu ajuaye mwisho wangu na mwanzo wangu atataka nife. Hivyo tu.
Chukua tahadhari kama ambavyo unajilinda dhidi ya Malaria kwa kulala kwenye chandarua chenye dawa, au vile unavyovaa kondomu ukishiriki ngono, au vile unavyonawa mikono kabla ya kula kujikinga na magonjwa kama kipindupindu, au vile unavyokunywa maji yaliyochemshwa kujikinga na magonjwa kama typhoid na minyoo!

Chukua tahadhari pia dhidi ya corona!
 
Respect
255713620441_status_50196ef6b4674364b37a0a61baa62a59.jpeg
 


Baada ya Ibada ya kuuombea na kuuaga mwili wa aliyekuwa Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli kufanyika katika kanisa la St Peters Jiji Dar es Salaam sasa ni muda wa uwanja wa Uhuru Dar Es Salaam. Wananchi wamekusanyika kwa wingi kuuaga mwili wa aliyekuwa rais wa Tanzania

WAKAZI WA DAR WAJITOKEZA KUAGA MWILI WA RAIS MAGUFULI

Wakazi wa Dar wamejitokeza barabarani kumuaga aliyekuwa Rais wa Tanzania, Dkt. John Magufuli

Wameonekana kutandika Khanga barabarani, wengine walibeba mashada na mabango yenye ujumbe



----
Wakazi wa Dar wamejitokeza barabarani kumuaga aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli.

Wakazi wa Dar walionekana kutandika Khanga barabarani ili magari yaliyobeba mwili wa Hayati Magufuli yapite juu yake kuonesha heshima.

Wananchi wengine walikuwa wamebeba mashada ambayo walikuwa wakiyapunga mwili wa Marehemu ukiwa Unapita kuelekea Uwanja wa Uhuru.

 

Attachments

  • PicsArt_03-18-12.06.07.jpg
    PicsArt_03-18-12.06.07.jpg
    91.6 KB · Views: 1
Back
Top Bottom