Hapana sijaenda. Nimemuona kwa tv..Umeenda kuaga!..pole sana kada ...inauma
Hapana sijaenda. Nimemuona kwa tv..
Mimi sio kada bali a true fan wa jiwe. mwadilifu kabisa..
Msiba huu naweza ufananisha kwa mbali na msiba wa baba yangu. Hii misiba miwili ndo nimetoa machozi nikilia usiku na mchana.
Huwa silii hata ndugu yangu akifa ( sijawahi fiwa na ndugu wa damu zaidi ya baba)
Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
Ni kweli. ThanksPole sana...njia yetu moja
Komenti bora kabisa hii, wenye akili wanaona na hakika CCM itashinda tenaMnaona raha kumtukana,watz wanyonge 2025 watakumbuka haya matusi na watashindwa kuwapa kura.
Wakiongozwa na mpora ardhi lukuviMawaziri wanapiga soga,wanacheka,wakiwa kwenye mstari wa kwenda kuaga mwili wa JPM.
Pole sana docta.Watu wa kada za afya huwa tunajifanya wagumu kwenye misiba, miaka yangu 15 wodini nikiwaudumia wagonjwa kwenye siku zao za mwisho...nikadhani nimekomaa ila leo nimekuwa kama mtoto mdogo, jitihada zangu zakujificha wanangu na mke wangu wasijue kuwa nipo nalia zote zimegonga ukuta! Sikujua kama nilimpenda Magufuli kiasi hiki.
Baada ya kuwazika wazazi wangu wote nikiwa kijana mdogo sikujua kama ipo siku nitalia tena kama leo...
Wanaume huwa tunaficha hisia zetu, ila nimeshindwa!
Pumzika JPM, tutakutana kwa Muumba, natamani hii iwe comment yangu ya mwisho hapa JF...asante sana mama D kwa faraja zako!
Kimbelembele sijawahi kusikia mwili ukiwafuata waombolezaji, ninavyojua waombolezaji hufuata msiba ulipo, kuwapelekea jeneza ni kuwalazimisha kuomboleza.Meko msimpeleke visiwani. Watu wa kule wana hasira na yeye kawaumiza sana.
Nimeshawqpa tahadhari mapema msije mkasema sijawaambia
WakoPumzika Rais wetu
Wanafurahia kuacha kutukanwa hadharaniMawaziri wanapiga soga,wanacheka,wakiwa kwenye mstari wa kwenda kuaga mwili wa JPM.