Mtanzatozo
JF-Expert Member
- Mar 2, 2016
- 971
- 1,165
assad..?Kwakweli, me namuomba madam president abadilishe DPP pia, huyu aliepo ni chanzo cha mrundikano wa cases nyingi mahakamani na pia akipenda amteue Prof. Mussa Asad kuwa Prime minister au Vice President.
Hakika umetuachia historia yapekee nasi tutakuenzi daima pumzika kwa amaniBaada ya Ibada ya kuuombea na kuuaga mwili wa aliyekuwa Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli kufanyika katika kanisa la St Peters Jiji Dar es Salaam sasa ni muda wa uwanja wa Uhuru Dar Es Salaam. Wananchi wamekusanyika kwa wingi kuuaga mwili wa aliyekuwa rais wa Tanzania
WAKAZI WA DAR WAJITOKEZA KUAGA MWILI WA RAIS MAGUFULI
Wakazi wa Dar wamejitokeza barabarani kumuaga aliyekuwa Rais wa Tanzania, Dkt. John Magufuli
Wameonekana kutandika Khanga barabarani, wengine walibeba mashada na mabango yenye ujumbe
----
Wakazi wa Dar wamejitokeza barabarani kumuaga aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli.
Wakazi wa Dar walionekana kutandika Khanga barabarani ili magari yaliyobeba mwili wa Hayati Magufuli yapite juu yake kuonesha heshima.
Wananchi wengine walikuwa wamebeba mashada ambayo walikuwa wakiyapunga mwili wa Marehemu ukiwa Unapita kuelekea Uwanja wa Uhuru.
View attachment 1729992View attachment 1729993View attachment 1729994View attachment 1729995
Sema kweli!!!Alichaguliwa na Wananchi wa Ruangwa.
Ni mbunge wa Ruangwa,Sema kweli!!!
Watu wa kada za afya huwa tunajifanya wagumu kwenye misiba, miaka yangu 15 wodini nikiwaudumia wagonjwa kwenye siku zao za mwisho...nikadhani nimekomaa ila leo nimekuwa kama mtoto mdogo, jitihada zangu zakujificha wanangu na mke wangu wasijue kuwa nipo nalia zote zimegonga ukuta! Sikujua kama nilimpenda Magufuli kiasi hiki.
Baada ya kuwazika wazazi wangu wote nikiwa kijana mdogo sikujua kama ipo siku nitalia tena kama leo...
Wanaume huwa tunaficha hisia zetu, ila nimeshindwa!
Pumzika JPM, tutakutana kwa Muumba, natamani hii iwe comment yangu ya mwisho hapa JF...asante sana mama D kwa faraja zako!
Chadwick Boseman alipokufa nililia sana japo nilimjua tu kwa kupitia muvi. Ila Magu daah tmpaka leo nipo Kwenye dozi naamini Magufuli anaweza kufa na watu.Watu wa kada za afya huwa tunajifanya wagumu kwenye misiba, miaka yangu 15 wodini nikiwaudumia wagonjwa kwenye siku zao za mwisho...nikadhani nimekomaa ila leo nimekuwa kama mtoto mdogo, jitihada zangu zakujificha wanangu na mke wangu wasijue kuwa nipo nalia zote zimegonga ukuta! Sikujua kama nilimpenda Magufuli kiasi hiki.
Baada ya kuwazika wazazi wangu wote nikiwa kijana mdogo sikujua kama ipo siku nitalia tena kama leo...
Wanaume huwa tunaficha hisia zetu, ila nimeshindwa!
Pumzika JPM, tutakutana kwa Muumba, natamani hii iwe comment yangu ya mwisho hapa JF...asante sana mama D kwa faraja zako!
Dogo achululiwe haraka kupewa mafunzo maalumu.
Mkuu pole sana...Tangulia Magufuli
Watu wa kada za afya huwa tunajifanya wagumu kwenye misiba, miaka yangu 15 wodini nikiwaudumia wagonjwa kwenye siku zao za mwisho...nikadhani nimekomaa ila leo nimekuwa kama mtoto mdogo, jitihada zangu zakujificha wanangu na mke wangu wasijue kuwa nipo nalia zote zimegonga ukuta! Sikujua kama nilimpenda Magufuli kiasi hiki.
Baada ya kuwazika wazazi wangu wote nikiwa kijana mdogo sikujua kama ipo siku nitalia tena kama leo...
Wanaume huwa tunaficha hisia zetu, ila nimeshindwa!
Pumzika JPM, tutakutana kwa Muumba, natamani hii iwe comment yangu ya mwisho hapa JF...asante sana mama D kwa faraja zako!
Achukuliwe haraka na kupewa mafunzo maalumu.
Hahaha huna moyo wewe mwanamke. Pole sanaHahahahaa sijakuona kitambo maana ww comments zako zote huwa za kishari balaa[emoji1787][emoji1787]..mie honestly nimeumia mno..sitak hata angalia kideo.
Nnao chiefHahaha huna moyo wewe mwanamke... Pole sana
Mizania ya maneno haya haina mantiki maana Kama alituhusia tusimuache Mungu vipi juu ya kupotea kwa Ben Saanane Azory Gwanda na risasi 16 za Lissu? Je, huyu Mungu anakubaliana na haya waliyotendewa Hawa watu?Maneno ya kuongea sina nabaki kulia lakini nakumbuka neno moja ambalo halitakuja kunitoka maishani, alisema tusimwache Mungu.
Bwana huna... Kubali tuNnao chief
Nna moyo kama mama. Nimeumia huwez amini. Hapa hata kinywaj hakishuki vzrBwana huna... Kubali tu
Ndio ninaelewa hilo... naelewa namna ulivyoguswa... moyo wako ni laini japo kabla hukuwa ukitegemea ungeguswa hivi. Ndio maana nasema huna moyoNna moyo kama mama...nimeumia huwez amini....hapa hata kinywaj hakishuki vzr
Yes...last week nilikua naplan.ikitolkea niende kigoma nikale bata dah, nimejikuta sina hata hamu...inauma...ameenda mapema sanaNdio ninaelewa hilo... naelewa namna ulivyoguswa... moyo wako ni laini japo kabla hukuwa ukitegemea ungeguswa hivi. Ndio maana nasema huna moyo