Dar: Yaliyojiri kuagwa kwa Mwili wa Hayati Dkt. Jonh Magufuli Uwanja wa Uhuru

Niwaalike wote tuungane Twende tukaone Mwili wa Aliyekuwa Rais wetu.

Leo ndio siku yetu kwa Dar.

Machinga. Mama ntilie kwa mikoa ya pwani na viunga vyake twendeni.


Kwenda kuuaga au kuuona mwili ???
 
Ambao sio wanyonge tuna comment wapi,? Nchi sasa naamini inaelekea kwenye uelekeo mpya wenye kufuata misingi ya katiba, haki na demokrasia.
 
Utakuta mtu kama huyu anayetoa ushauri huu ana wiki nzima hajavaa barakoa, anapanda bus, anaenda sokoni na kwenye vibandaumiza kwenda kumcheki Mnyama akimrarua Al Melek alikuwepo.

Huu unafiki utawaua nyie!
 
Utakuta mtu kama huyu anayetoa ushauri huu ana wiki nzima hajavaa barakoa, anapanda bus, anaenda sokoni na kwenye vibandaumiza kwenda kumcheki Mnyama akimrarua Al Melek alikuwepo.

Huu unafiki utawaua nyie!
Sijawahi kushiriki ujinga wote ulioutaja hapa...
 
Sadly huu msiba unaweza kuongeza maambukizo.

Hakuna barakoa wala social distancing kwa watu wengi sana.

Kinachosaidia wengi ni vijana na hawana magonjwa, lakini hao ndio wanaambukiza wazee na wenye magonjwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…