3 Angels message
JF-Expert Member
- Aug 3, 2017
- 5,350
- 15,426
Nenda na barakoa na sanitizer mkuu, uviko bado ipo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wacha wafu wazike wafu wenzao!Watu wamelala uwanjani jana wanamsubiri mpendwa wao. JPM alipendwa jamani 😍😍😍
Niwaalike wote tuungane Twende tukaone Mwili wa Aliyekuwa Rais wetu.
Leo ndio siku yetu kwa Dar.
Machinga. Mama ntilie kwa mikoa ya pwani na viunga vyake twendeni.
Hayo mahumbukizi yatakua makubwa sana wacha tuzike tu sasa. Kenge mkubwa kapasuka masikioNenda na barakoa na sanitizer mkuu, uviko bado ipo
Nyie mliwakilishwa na J J Mnyika jana!Unamualika nani?
Nenda mwenyewe maana kila mtu ana utashi wake.
Tupo njiani twajaNiwaalike wote tuungane Twende tukaone Mwili wa Aliyekuwa Rais wetu.
Leo ndio siku yetu kwa Dar.
Machinga. Mama ntilie kwa mikoa ya pwani na viunga vyake twendeni.
Utakuta mtu kama huyu anayetoa ushauri huu ana wiki nzima hajavaa barakoa, anapanda bus, anaenda sokoni na kwenye vibandaumiza kwenda kumcheki Mnyama akimrarua Al Melek alikuwepo.You guys need to be cautious when you follow the Masses. Often "M" is missing or very silent!
Kumbukeni Covid-19 ipo... Na inaibua magonjwa nyemelezi!
So hata kama mmesombwa na kulipiwa nauli au mafuta kama kipindi cha kampeni hakikisheni mmoja mmoja mnachukua tahadhari na kujilinda!!
... maswali mengine wala sio ya kuuliza; ni suala la kushirikisha ubongo kidogo sana.Bagonza ni
Sijawahi kushiriki ujinga wote ulioutaja hapa...Utakuta mtu kama huyu anayetoa ushauri huu ana wiki nzima hajavaa barakoa, anapanda bus, anaenda sokoni na kwenye vibandaumiza kwenda kumcheki Mnyama akimrarua Al Melek alikuwepo.
Huu unafiki utawaua nyie!
Tatizo lako ni kujua kiswahiliNyie mliwakilishwa na J J Mnyika jana!
Na hapo kuna covid combination ya Dodoma na DarEti kuitwa mnyonge nayo ilisha kuwa ni sifa?
Sadly huu msiba unaweza kuongeza maambukizo.You guys need to be cautious when you follow the Masses. Often "M" is missing or very silent!
Kumbukeni Covid-19 ipo... Na inaibua magonjwa nyemelezi!
So hata kama mmesombwa na kulipiwa nauli au mafuta kama kipindi cha kampeni hakikisheni mmoja mmoja mnachukua tahadhari na kujilinda!!
Hebu tuone, msirudi tu hapa mmevunjika moyo.Ambao sio wanyonge tuna comment wapi,? Nchi sasa naamini inaelekea kwenye uelekeo mpya wenye kufuata misingi ya katiba, haki na demokrasia.
Wanasahau kuwa Mungu umsaidia yule anaye jisaidia.Na hapo kuna covid combination ya Dodoma na Dar
Anatualika sisi wengine ww tuliza ball haikuhusuUnamualika nani?
Nenda mwenyewe maana kila mtu ana utashi wake.
Usiwe na shaka ya kujulikana mkuu,nenda tu bila kuchukua tahadhali ya korona tutakusika na kukujua kupitia vyombo vya habariTunaotoka Dar, kwenda kumzika JPM tujuane basi
Nenda baba nenda sisi tutakuchangia sandaAnatualika sisi wengine ww tuliza ball haikuhusu