Bambushka
JF-Expert Member
- Jan 9, 2020
- 3,952
- 7,218
Subiria Dodoma, Mwanza na Chato, endapo nako huko maaskofu watakosekana, basi ni sahihi kwako kuanzisha uzi kama huu!SNafuatilia Misa takatifu ya kuuombea mwili wa Aliyekuwa Rais wa JMT, katika kanisa la Mt. Peter kwa hadhi ya msiba ulitakiwa kuwepo na Maaskofu wa kutosha ila sijaona hata mmoja.
Ibada imeendeshwa na Mapadre tu.
Hii si sahihi kabisa.
Au unamuulizia Askofu yule mfufuaji maarufu, kwanini hakuonekana?!
Everyday is Saturday............................... 😎