Dar: Yaliyojiri kuagwa kwa Mwili wa Hayati Dkt. Jonh Magufuli Uwanja wa Uhuru

Dar: Yaliyojiri kuagwa kwa Mwili wa Hayati Dkt. Jonh Magufuli Uwanja wa Uhuru

SNafuatilia Misa takatifu ya kuuombea mwili wa Aliyekuwa Rais wa JMT, katika kanisa la Mt. Peter kwa hadhi ya msiba ulitakiwa kuwepo na Maaskofu wa kutosha ila sijaona hata mmoja.
Ibada imeendeshwa na Mapadre tu.
Hii si sahihi kabisa.
Subiria Dodoma, Mwanza na Chato, endapo nako huko maaskofu watakosekana, basi ni sahihi kwako kuanzisha uzi kama huu!
Au unamuulizia Askofu yule mfufuaji maarufu, kwanini hakuonekana?!

Everyday is Saturday............................... 😎
 
giphy.gif

Msifosi na sisi tulie na kugalagala wacha kupiga mataputapu yetu, yeye si alikazisha VYUMA!
 
Ukapumzike ulipojiandalia mwamba, kusema ukweli sijawahi kukukubali ktk uongozi wako na binafsi haukuwa rais wangu.
 
Nafuatilia Misa takatifu ya kuuombea mwili wa Aliyekuwa Rais wa JMT, katika kanisa la Mt. Peter kwa hadhi ya msiba ulitakiwa kuwepo na Maaskofu wa kutosha ila sijaona hata mmoja.
Ibada imeendeshwa na Mapadre tu.
Hii si sahihi kabisa.
Bado unafuatilia bwashee?

Mods ondoa huu urongo!
 
Nafuatilia Misa takatifu ya kuuombea mwili wa Aliyekuwa Rais wa JMT, katika kanisa la Mt. Peter kwa hadhi ya msiba ulitakiwa kuwepo na Maaskofu wa kutosha ila sijaona hata mmoja.
Ibada imeendeshwa na Mapadre tu.
Hii si sahihi kabisa.
Huna taarifa za kutosha halafu unakimbilia mitandaoni kuharisha
 
Hawa viongozi hawajui watu wanamchora tu Marehemu!! Kumtangisha hivyo na watu kumshangaa si kwamba ndio anapendwa jamani. Watu wanashangaa hata yeye kafa!! Kumdhililisha tu Marehemu.
 
Nafuatilia Misa takatifu ya kuuombea mwili wa Aliyekuwa Rais wa JMT, katika kanisa la Mt. Peter kwa hadhi ya msiba ulitakiwa kuwepo na Maaskofu wa kutosha ila sijaona hata mmoja.
Ibada imeendeshwa na Mapadre tu.
Hii si sahihi kabisa.
Askafo Mkuu Yuda Thadeus Ruaichi ameshatinga uwanja wa taifa kwa ajili ya kuongoza maombi hapo vp mchawi kama nakuona vile....
 
Sasa huyo ataenda mbinguni? Labda kama hizi hadithi za mbingu ziwe furahisha genge, lakini kama mbingu ipo kama tunavyosimuliwa, huyo mtu muovu haingii.
Hukuwepo kwenye nyakati zake za mwisho na MUNGU wake. Hujui lolote kuhusu hukumu yake.
 
Kiukweli Magomeni washikwa na simanzi kuu kumpoteza kipenzi chao aliyekuwa Rais wa JMT Dr Magufuli.

Wananchi wametandaza nguo zai barabarani wakimlilia Magufuli.

RIP Magufuli

Maendeleo hayana vyama!
Yaani akisafirishwa kwa barbara mpaka dodoma hata kana usiku watu tutoe heshima zetu barabarani.
 
Mnatafuta nini kwa mwili wa marehemu tulieni ameenda .... Mtaanza kuingiza mamilioni ambayo aliwazibia. Kenge nyie
Nafuatilia Misa takatifu ya kuuombea mwili wa Aliyekuwa Rais wa JMT, katika kanisa la Mt. Peter kwa hadhi ya msiba ulitakiwa kuwepo na Maaskofu wa kutosha ila sijaona hata mmoja.
Ibada imeendeshwa na Mapadre tu.
Hii si sahihi kabisa.
Uliye taka maaskofu haya hao hapo uwanjani wanaendesha misa takatifu.
 
Back
Top Bottom