Subiria Dodoma, Mwanza na Chato, endapo nako huko maaskofu watakosekana, basi ni sahihi kwako kuanzisha uzi kama huu!SNafuatilia Misa takatifu ya kuuombea mwili wa Aliyekuwa Rais wa JMT, katika kanisa la Mt. Peter kwa hadhi ya msiba ulitakiwa kuwepo na Maaskofu wa kutosha ila sijaona hata mmoja.
Ibada imeendeshwa na Mapadre tu.
Hii si sahihi kabisa.
Huyo mama akijifanya hamnazo Covid inamuondoa. Avae barakoa.
Swali kwako mkuu hv ulipenda Magu avae barakoa au asivae !!??Barakoa kama tatu hivi..safi sanaa
Kuna aliyewahi kuamka?Nyerere aliacha Wosia, Mkapa aliacha kitabu na Magufuli ameacha makaburi...... RIP Azory Gwanda RIP Ben Saanane
Lala milele Dikteta, Usiamke tena
Masweta na skafu hayapo tena wanapigia deki.Kwani wewe hilo sweta la Chadema ulilovaa linakusaidia nini?
Bado unafuatilia bwashee?Nafuatilia Misa takatifu ya kuuombea mwili wa Aliyekuwa Rais wa JMT, katika kanisa la Mt. Peter kwa hadhi ya msiba ulitakiwa kuwepo na Maaskofu wa kutosha ila sijaona hata mmoja.
Ibada imeendeshwa na Mapadre tu.
Hii si sahihi kabisa.
Huna taarifa za kutosha halafu unakimbilia mitandaoni kuharishaNafuatilia Misa takatifu ya kuuombea mwili wa Aliyekuwa Rais wa JMT, katika kanisa la Mt. Peter kwa hadhi ya msiba ulitakiwa kuwepo na Maaskofu wa kutosha ila sijaona hata mmoja.
Ibada imeendeshwa na Mapadre tu.
Hii si sahihi kabisa.
Askafo Mkuu Yuda Thadeus Ruaichi ameshatinga uwanja wa taifa kwa ajili ya kuongoza maombi hapo vp mchawi kama nakuona vile....Nafuatilia Misa takatifu ya kuuombea mwili wa Aliyekuwa Rais wa JMT, katika kanisa la Mt. Peter kwa hadhi ya msiba ulitakiwa kuwepo na Maaskofu wa kutosha ila sijaona hata mmoja.
Ibada imeendeshwa na Mapadre tu.
Hii si sahihi kabisa.
Hukuwepo kwenye nyakati zake za mwisho na MUNGU wake. Hujui lolote kuhusu hukumu yake.Sasa huyo ataenda mbinguni? Labda kama hizi hadithi za mbingu ziwe furahisha genge, lakini kama mbingu ipo kama tunavyosimuliwa, huyo mtu muovu haingii.
Yaani akisafirishwa kwa barbara mpaka dodoma hata kana usiku watu tutoe heshima zetu barabarani.Kiukweli Magomeni washikwa na simanzi kuu kumpoteza kipenzi chao aliyekuwa Rais wa JMT Dr Magufuli.
Wananchi wametandaza nguo zai barabarani wakimlilia Magufuli.
RIP Magufuli
Maendeleo hayana vyama!
Bagonza ni... marehemu alikuwa mkatoliki.
Uliye taka maaskofu haya hao hapo uwanjani wanaendesha misa takatifu.Nafuatilia Misa takatifu ya kuuombea mwili wa Aliyekuwa Rais wa JMT, katika kanisa la Mt. Peter kwa hadhi ya msiba ulitakiwa kuwepo na Maaskofu wa kutosha ila sijaona hata mmoja.
Ibada imeendeshwa na Mapadre tu.
Hii si sahihi kabisa.