Dar: Yaliyojiri kuagwa kwa Mwili wa Hayati Dkt. Jonh Magufuli Uwanja wa Uhuru

Dar: Yaliyojiri kuagwa kwa Mwili wa Hayati Dkt. Jonh Magufuli Uwanja wa Uhuru

Wale walinzi wa Magufuli wamejipanga kwenye jeneza kama walivyokuwa wanafanya akiwa hai
Yah iko hivyo mkuu watakuwa nae mpka ile sku atakayozikwa ndo wataachana nae hicho ndo kiapo ndo maana hata ADC wake unaona mda ote yupo nyuma ya jeneza na hata gari wanapanda moja hilo hilo kama mwanzo.

Na kila kitu atakachofanyiwa maiti lazima kipitie kwake kuanzia kupambwa nk.na atakuwa anatoa heshima zote kama saluti akishuka na akipanda gari kama alivyokuwa akifanya akiwa hai.

Hata huyo wanayesema amekufa nadhani kwa wenye macho wamemuona leo akiwa pembeni ya mwili kama alivyokuwa pembeni akiwa hai.

Mwisho ni majukum,wengi wamekuwa wakibeza kuwa hawa jamaa ndo washakosa kazi,ila kiuhalisia pale kuna wanajeshi ambao wako ngazi za juu rank kuanzia captain jeshini kwenda juu,hivyo wakimzika tu.hapo hapo wanapewa majukum mengine na zaidi hupewa uongozi ndani ya vikosi vya ulinzi wa viongozi sababu wanakuwa na uzoefu viapo na siri kubwa za nchi.
Kwa leo niishie hapo

Sent from my SM-M315F using JamiiForums mobile app
 
Hii picha (akiwa amevaa barakoa) inatuma ujumbe mzito wa watawala.

Viongozi wetu (hasa wa serikali) waache viburi. Tunaweza kujikuta kwenye hii awamu ya tano tunaongozwa na marais hata wanne kama tutaendelea kudharau UVIKO19.

Hii mikusanyiko ya kuaga tu ni tatizo. Sio ni kama kuna sensitivity yoyote ya kujaribu kuipunguza, kuipuka au kuchjkua tahadhari. Tunajali? Wacha tufe tu.
Well said mkuu.
 
W

Wapande juu ya nguzo za umeme au ghorofa kisha wajirushe chini ili kudhihirisha majonzi yao.
Watanzania Hatuna tamaduni hizo cjui nyie mmetoa Wapi hizo Roho Hakuna kiongoz duniani toka kuumbwa kwa ulimwengu amewah kuw mkamilifu Kwenye uongoz wake lazma awe na dosari lkn pamoja na yote amefany meng Sana watu wa Hali ya Chini na Wapend haki ndo wanaelewa Jinsi gn inauma kumpoteza Huyu mwamba.

Jana nimeangalia kwny kituo flan Iv walikuw wanaonyesha viongozi mbalmbal waki sain daftari La maombolezo nilimuona baloz wa Zambia nchini mzee flan Iv sijamkarir jina Alilia kwa uchungu akimlilia Magufuli Ndyo aliyoifanya Tanzania ifike hapa ilipo na ni mzambia sasa nashangaa Mtanzania mwenzangu unaropoka ovyo tu.

Hivi unadhan huyo Lissu ndo mkamilifu mtu acyejua maana ya uzalendo anafny kitu kwa masifa ili kufurahsha mabeberu all in all Magufuli tutamkumbuka, narudia tutamkumbuka iandike hii tarehe ya leo mahali.
 
Ila watu wa humu mnaa taabu!!!barakoa barakoa!!!kufa kupo tu nyau weusi nyieee!!ukivaa wewe inatosha kaaah!!!
Kenge huwa hasikii hadi apigwe hadi damu itoke masikioni.

Seif
Kijazi
Meko
Mahiga
..
...
..
...
 
Nafuatilia Misa takatifu ya kuuombea mwili wa Aliyekuwa Rais wa JMT, katika kanisa la Mt. Peter kwa hadhi ya msiba ulitakiwa kuwepo na Maaskofu wa kutosha ila sijaona hata mmoja.
Ibada imeendeshwa na Mapadre tu.
Hii si sahihi kabisa.
Akili hauna... angalia chnel10 tena
 
Nafuatilia Misa takatifu ya kuuombea mwili wa Aliyekuwa Rais wa JMT, katika kanisa la Mt. Peter kwa hadhi ya msiba ulitakiwa kuwepo na Maaskofu wa kutosha ila sijaona hata mmoja.
Ibada imeendeshwa na Mapadre tu.
Hii si sahihi kabisa.
Acha zako basi! Hao mapadre ndio hata wakiongoza wanaongoza kwa moyo na toba ya kweli! Kinachoongoza hapo ni roho mtakatifu! Hata hivyo nenda uwanjwa wa uhuru utayarudisha maneno yako! Huko utakuta papa wa tz ndie ataongoza ili uwe na amani! Tuendelee kumuombea jemedari wetu, na shujaa wetu na nchi yetu!
 
Siyo Maaskofu ambao humpeleka mtu peponi, mbinguni bali matendo yake enzi akiwa hai duniani. JPM atajitetea mwenyewe ahera, na pengine ni huko huko atakapokutana na Maaskofu unaowasema hawajafika Kanisa la Mt. Petre.
Well said
 
Nafuatilia Misa takatifu ya kuuombea mwili wa Aliyekuwa Rais wa JMT, katika kanisa la Mt. Peter kwa hadhi ya msiba ulitakiwa kuwepo na Maaskofu wa kutosha ila sijaona hata mmoja.
Ibada imeendeshwa na Mapadre tu.
Hii si sahihi kabisa.
Acha zako basi! Hao mapadre ndio hata wakiongoza wanaongoza kwa moyo na toba ya kweli! Kinachoongoza hapo ni roho mtakatifu! Hata hivyo nenda uwanjwa wa uhuru utayarudisha maneno yako! Huko utakuta papa wa tz ndie ataongoza ili uwe na amani! Tuendelee kumuombea jemedari wetu, na shujaa wetu na nchi yetu!
 
Nafuatilia Misa takatifu ya kuuombea mwili wa Aliyekuwa Rais wa JMT, katika kanisa la Mt. Peter kwa hadhi ya msiba ulitakiwa kuwepo na Maaskofu wa kutosha ila sijaona hata mmoja.
Ibada imeendeshwa na Mapadre tu.
Hii si sahihi kabisa.
Ibada ya kitaifa inafanyika Uwanja wa Uhuru. Utawaona wote
 
Jiwe aikuwa mbishi sana huenda alikuwa ameandaa mpango wa kumpoteza maaskofu kabla ya kifo kuingilia kati
 
Nafuatilia Misa takatifu ya kuuombea mwili wa Aliyekuwa Rais wa JMT, katika kanisa la Mt. Peter kwa hadhi ya msiba ulitakiwa kuwepo na Maaskofu wa kutosha ila sijaona hata mmoja.
Ibada imeendeshwa na Mapadre tu.
Hii si sahihi kabisa.
Acha zako basi! Hao mapadre ndio hata wakiongoza wanaongoza kwa moyo na toba ya kweli! Kinachoongoza hapo ni roho mtakatifu! Hata hivyo nenda uwanjwa wa uhuru utayarudisha maneno yako! Huko utakuta papa wa tz ndie ataongoza ili uwe na amani! Tuendelee kumuombea jemedari wetu, na shujaa wetu na nchi yetu!
Sasa huyo ataenda mbinguni? Labda kama hizi hadithi za mbingu ziwe furahisha genge, lakini kama mbingu ipo kama tunavyosimuliwa, huyo mtu muovu haingii.
Huyu Magufuli mnayemchukia, mtamkuta kiti cha mbele mbinguni na cheo kapewa bali wengine msipojirekebusha hata mlango wa mbinguni mtaishia kuutazama kwa mbali tu mkienda motoni!
RIEP Magufuli!
 
Back
Top Bottom