jerryempire
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 5,530
- 9,550
Yah iko hivyo mkuu watakuwa nae mpka ile sku atakayozikwa ndo wataachana nae hicho ndo kiapo ndo maana hata ADC wake unaona mda ote yupo nyuma ya jeneza na hata gari wanapanda moja hilo hilo kama mwanzo.Wale walinzi wa Magufuli wamejipanga kwenye jeneza kama walivyokuwa wanafanya akiwa hai
Na kila kitu atakachofanyiwa maiti lazima kipitie kwake kuanzia kupambwa nk.na atakuwa anatoa heshima zote kama saluti akishuka na akipanda gari kama alivyokuwa akifanya akiwa hai.
Hata huyo wanayesema amekufa nadhani kwa wenye macho wamemuona leo akiwa pembeni ya mwili kama alivyokuwa pembeni akiwa hai.
Mwisho ni majukum,wengi wamekuwa wakibeza kuwa hawa jamaa ndo washakosa kazi,ila kiuhalisia pale kuna wanajeshi ambao wako ngazi za juu rank kuanzia captain jeshini kwenda juu,hivyo wakimzika tu.hapo hapo wanapewa majukum mengine na zaidi hupewa uongozi ndani ya vikosi vya ulinzi wa viongozi sababu wanakuwa na uzoefu viapo na siri kubwa za nchi.
Kwa leo niishie hapo
Sent from my SM-M315F using JamiiForums mobile app