Dar: Yaliyojiri kuagwa kwa Mwili wa Hayati Dkt. Jonh Magufuli Uwanja wa Uhuru

Dar: Yaliyojiri kuagwa kwa Mwili wa Hayati Dkt. Jonh Magufuli Uwanja wa Uhuru

Papa alikimbia madhabahu ya Kanisa kuu Vaticano kwa kuogopa corona mwaka jana, Nini askofu bana? Yaani JPM ni shujaa mfia Imani ya Kumtegemea Bwana Yesu kuliko Pope. Na kuondoka kwake pengine kumewapa ahueni kuhusu kukosa ujasiri wa kumtegemea Mungu.

Acha upotoshaji wa kiimani. Kumtegemea Mungu sio kama unavosema. Kama una imani kubwa sana, kwanini unakula chakula?? Si ungeishi tu bila kuhitaji chakula? Si ingeumwa na usitibiwe? Si ungeenda kijijini kwenu bila kuhitaji nauli?

Mungu asijaribiwe na tamaa zenu za kumtegemea isivo stahili!!

Jikinge na corona! Mungu wa upendo anawapenda watu wote, zaidi sana wale wenye dhambi na mapungufu!!
 
Hongereni sana mapadri mnaoongoza sala ya kumuaga hayati Dr magufuli kwa kuonyesha ulimwengu kwa kuvaa BARAKOA.Ningeomba watanzania wote wawaige ili kuepusha maangamizi ya hili gonjwa hatari covid 19 corona.
Viongozi wa siasa hawajavaa barakoa na Waumini hawajavaa barakoa wakati viongozi wao wa dini wanevaa barakoa !!! Tafsiri nin? i ni kuwa wananchi wanawasikiliza zaidi viongozi wa siasa kuliko wa dini!!! Watu wamewapuuza viongozi wa dini wenye barakoa.Wanawaelewa zaidi viongozi wa siasa kuliko wa dini kwenye swala la barakoa!!!
 
Viongozi wa siasa hawajavaa barakoa na Waumini hawajavaa barakoa wakati viongozi wao dini wanevaa barakoa !!! Tafsiri nin? i ni kuwa wananchi wanawasikiliza zaidi viongozi wa siasa kuliko wa dini!!! Watu wamewapuuza viongozi wa dini wenye barakoa.Wanawaelewa zaidi viongozi wa siasa kuliko wa dini kwenye swala la barakoa!!!
Majungu haya
 
Maneno ya kuongea sina nabaki kulia lakini na kumbuka neno moja ambalo halitakuja kunitoka maishani alisema tusimwache Mungu.
Unafiki, unafiki na unafiki zaidi. Angekua anamuheshimu Mungu angedhulumu watu, mf wakulima wa korosho,

Angekua anamueshimu Mungu angebambikia matu kesi mf. Bendera

Angekua anamuheshimu Mungu angetumia ubabe kuwaumiza watumish4 wa uma kwa kuwapunja stahiki zao.

Fala wewe tutolee unafiki wako hapa. Angekua anamuheshimu Mungu ange ua watu na kuiba kura kwa uchu wa madarakag

Angekua anamuheshimu Mungu angetukana na kudhihaki watu hadharani. "Mbaki na mavi yenu nyumbani"

Angekua anamuheshimu Mungu angekua mbinafsi kuchota mapesa na kujijengea mahekalu na uwanja wa ndege kijijini kwake huku watumishi wa uma kazuia stahiki za madaraja yao.

PUMBAVU zako, angekua anamuheshimu Mungu angeteka na kulazimisha kukwapua mali za watu kionevu mf. Mo

TUTOLEE UJINGA WAKO HAPA NA UHAYAWANI.
 
Magufuli alikuwa muumini wa kawaida, japo mwenyewe kuna wakati alitaka awe juu ya Kanisa.

Bahati nzuri Kanisa na viongozi wake wanaofiata kweli ya Mungu, unafiki ni.mwiko. Mama Kanisa, ambaye ndiye mchungaji mkuu wa kondoo, ametoa agizo kuwa Kanisa na viongozi wake wazingatie miongozo ya kujikinga na corona. Marhemu hakutaka, tena akawabeza. Nina imani, hata kwenye shughuli hizi za kumuaga marehemu na kumsindikiza katika safari yake hii ya mwisho, Kanisa litazingatia maelekezo ya Mama Kanisa.

Maaskofu wengi ni wenye umri mkubwa, watakuwa wajinga kama wakijiweka kwenye mazingira hatarishi. Ibada zote zitaendeshwa na mapadre vijana ambao risk kwao siyo kubwa kama ilivyo kwa maaskofu.

Utegemee pia, kuona marais wakituma wawakilishi badala ya kuja wao wenyewe.

Magufuli amekwishatangulia, hata ibafa yake iongozwe na nani, hata aagwe na watu wengi kiasi gani, haitabadilisha chochote. Cha muhimu , tujilinde na tuwalinde walio hai.
 
Viongozi wa siasa hawajavaa barakoa na Waumini hawajavaa barakoa wakati viongozi wao dini wanevaa barakoa !!! Tafsiri nin? i ni kuwa wananchi wanawasikiliza zaidi viongozi wa siasa kuliko wa dini!!! Watu wamewapuuza viongozi wa dini wenye barakoa.Wanawaelewa zaidi viongozi wa siasa kuliko wa dini kwenye swala la barakoa!!!
Hili la barakoa hili linaleta mashaka
 
Back
Top Bottom