Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
Wakuu Kadinali Ruwai'chi anasema "Sasa tuonje taifa la haki" Ana Maana Gani??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Papa alikimbia madhabahu ya Kanisa kuu Vaticano kwa kuogopa corona mwaka jana, Nini askofu bana? Yaani JPM ni shujaa mfia Imani ya Kumtegemea Bwana Yesu kuliko Pope. Na kuondoka kwake pengine kumewapa ahueni kuhusu kukosa ujasiri wa kumtegemea Mungu.
Viongozi wa siasa hawajavaa barakoa na Waumini hawajavaa barakoa wakati viongozi wao wa dini wanevaa barakoa !!! Tafsiri nin? i ni kuwa wananchi wanawasikiliza zaidi viongozi wa siasa kuliko wa dini!!! Watu wamewapuuza viongozi wa dini wenye barakoa.Wanawaelewa zaidi viongozi wa siasa kuliko wa dini kwenye swala la barakoa!!!Hongereni sana mapadri mnaoongoza sala ya kumuaga hayati Dr magufuli kwa kuonyesha ulimwengu kwa kuvaa BARAKOA.Ningeomba watanzania wote wawaige ili kuepusha maangamizi ya hili gonjwa hatari covid 19 corona.
Huyu Mama haoni Kabudi kaanza vaa Barakoa?VP ajaye anaweza kuwa Rais wetu kabla hata ya 2025.
Majungu hayaViongozi wa siasa hawajavaa barakoa na Waumini hawajavaa barakoa wakati viongozi wao dini wanevaa barakoa !!! Tafsiri nin? i ni kuwa wananchi wanawasikiliza zaidi viongozi wa siasa kuliko wa dini!!! Watu wamewapuuza viongozi wa dini wenye barakoa.Wanawaelewa zaidi viongozi wa siasa kuliko wa dini kwenye swala la barakoa!!!
Unafiki, unafiki na unafiki zaidi. Angekua anamuheshimu Mungu angedhulumu watu, mf wakulima wa korosho,Maneno ya kuongea sina nabaki kulia lakini na kumbuka neno moja ambalo halitakuja kunitoka maishani alisema tusimwache Mungu.
We unaishi nchi gani?Ruagwa mbunge wao nani?fikirisheni akili zenu..PM majaliwa alichaguliwa na nani???
Hili la barakoa hili linaleta mashakaViongozi wa siasa hawajavaa barakoa na Waumini hawajavaa barakoa wakati viongozi wao dini wanevaa barakoa !!! Tafsiri nin? i ni kuwa wananchi wanawasikiliza zaidi viongozi wa siasa kuliko wa dini!!! Watu wamewapuuza viongozi wa dini wenye barakoa.Wanawaelewa zaidi viongozi wa siasa kuliko wa dini kwenye swala la barakoa!!!
Hakika haki haikuwepo kabisa nchini........Anamaanisha hapakuwa na Haki, Samia ana kazi sana
Haiwezekani,jinga wewe, kwaiyo Pro Asad awezi pewa ubunge wa kuteuliwa then akapewa u-PM??