Dar: Yaliyojiri kuagwa kwa Mwili wa Hayati Dkt. Jonh Magufuli Uwanja wa Uhuru

Dar: Yaliyojiri kuagwa kwa Mwili wa Hayati Dkt. Jonh Magufuli Uwanja wa Uhuru

Yaani mtu ili ahalalishe chuki yake kwa Magufuli ananyofoa kipande kwenye sentensi na kuifanyia hoja ya kumhukumu kipenzi chetu Magufuli.
Amekufa tayari endeleeni kula bia
 
Ageni mpendwa wenu. Tulioumizwa nae tuna hangover tunaenda kuzimua mapema maana mama katoa mapumzika jumatatu.

Kubwa zaidi tarehe 25 nayo tumepewa ni siku ya bia.

Tumenyanyaswa sana yaani.

Waachieni wanaoshikiliwa magerezani haraka wakazione familia zao
Kwa hiyo unasheherekea??.
 
Namtakia safari njema huko aendako, mengi aliyafanya hapa duniani mwisho wa siku aijuaye siri yake ya mwisho ni yeye na Mungu wake, sijui muda mchache kabla hajakata roho alisema nini na Mungu wake akiwa kitandani.

Vile alivyokuwa anapenda kulitaja jina la Mungu kila wakati ndio sitaki kabisa kumyooshea kidole, mimi sio Mungu nimuhukumu, zaidi maandiko yananitaka nisihukumu nisije kuhukumiwa, au kama yupo asie na dhambi kati yetu na awe wa kwanza kumpiga jiwe.

Narudia kusema tena; uwe na safari njema huko uendako, The late, John Joseph Pombe Magufuli.

#No one is born perfect.
Amen
 
Acha upotoshaji wa kiimani. Kumtegemea Mungu sio kama unavosema. Kama una imani kubwa sana, kwanini unakula chakula?? Si ungeishi tu bila kuhitaji chakula? Si ingeumwa na usitibiwe? Si ungeenda kijijini kwenu bila kuhitaji nauli?

Mungu asijaribiwe na tamaa zenu za kumtegemea isivo stahili!!

Jikinge na corona! Mungu wa upendo anawapenda watu wote, zaidi sana wale wenye dhambi na mapungufu!!

Ushindwe kwa Jina la Yesu wewe wakala wa shetani/ibilisi. Yuda iskarioti wa kupasuka matumbo. Mungu ndiye alisema mtengeneze virus ili mtumie akili za kujitawala za kujichanja kwa chanjo na kujikinga kwa barakoa. Huku kampuni moja ya chanjo tayari imesha focus 41.6 Trillion kama faida ya fedha za majuha kama wewe.
 
Ni majitu machache mabinafsi yakina kigogo ndio yalikuwa yanachafua taswira ya JPM...
leo haliwezi kuposti hizo picha za wananchi
Watu kujaa kwenye misiba huku bongo ni ajabu? Kama watu wanaweza kujaa hata wakiona catapillar linachimba barabara ndio itakua kujaa kwenye msiba unaotangazwa na kila chombo cha habari? Taswira chafu haiwezi kuchafuliwa tena. Mngemshauri awe na utu na busara, sio mambo ya kunenepesheaa ng'ombe mnadani.
 
A dead body has nothing in this world, kama alitenda ubaya Shetani anamsubiri, kama alitenda mema Mbingu inamsubiri.
Ila kwa vifo vya kina ben, azroy na mawazo nk .
God have mercy


Baada ya Ibada ya kuuombea na kuuaga mwili wa aliyekuwa Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli kufanyika katika kanisa la St Peters Jiji Dar es Salaam sasa ni muda wa uwanja wa Uhuru Dar Es Salaam. Wananchi wamekusanyika kwa wingi kuuaga mwili wa aliyekuwa rais wa Tanzania

WAKAZI WA DAR WAJITOKEZA KUAGA MWILI WA RAIS MAGUFULI

Wakazi wa Dar wamejitokeza barabarani kumuaga aliyekuwa Rais wa Tanzania, Dkt. John Magufuli

Wameonekana kutandika Khanga barabarani, wengine walibeba mashada na mabango yenye ujumbe



----
Wakazi wa Dar wamejitokeza barabarani kumuaga aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli.

Wakazi wa Dar walionekana kutandika Khanga barabarani ili magari yaliyobeba mwili wa Hayati Magufuli yapite juu yake kuonesha heshima.

Wananchi wengine walikuwa wamebeba mashada ambayo walikuwa wakiyapunga mwili wa Marehemu ukiwa Unapita kuelekea Uwanja wa Uhuru.

 
Wakuu Kadinali Ruwai'chi anasema "Sasa tuonje taifa la haki" Ana Maana Gani??
Mkapuchini Judas Thadeus Ruwaichi siyo Kardinali! Ni Padre lakini pia ni Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar ea Salaam.

Tanzania ilibahatika kuwa na Ma kardinali wawili tu! Kardinali Laurent Rugambwa (RIP), Na Kardinali Polycarp Pengo.
 
Ushindwe kwa Jina la Yesu wewe wakala wa shetani/ibilisi. Yuda iskarioti wa kupasuka matumbo. Mungu ndiye alisema mtengeneze virus ili mtumie akili za kujitawala za kujichanja kwa chanjo na kujikinga kwa barakoa. Huku kampuni moja ya chanjo tayari imesha focus 41.6 Trillion kama faida ya fedha za majuha kama wewe.
Chukua tahadhari dhidi ya Corona,inaua!Vaa barakoa na epuka misongamano isiyo ya lazima,usiwe mbishi la sivyo yatakukuta yaliyomkuta Jiwe!
 
Watu kujaa kwenye misiba huku bongo ni ajabu? Kama watu wanaweza kujaa hata wakiona catapillar linachimba barabara ndio itakua kujaa kwenye msiba unaotangazwa na kila chombo cha habari? Taswira chafu haiwezi kuchafuliwa tena. Mngemshauri awe na utu na busara, sio mambo ya kutakatishia ng'ombe mnadani.
Kujaa na kulia/ kuomboleza
 
Wewe ni mjinga tu kati ya wajinga wenzako na huna lolote unanipotezea muda, take your time.
Sasa kwani we una akili? Sasa mtaendelea na kelele mpaka mchoke, Bashiru ndo yuko madarakani mastermind wa Magufuli.
 
Chukua tahadhari dhidi ya Corona,inaua!Vaa barakoa na epuka misongamano isiyo ya lazima,usiwe mbishi la sivyo yatakukuta yaliyomkuta Jiwe!

Hainiui mimi kwa sababu inaua ,nitakufa kwa namna ambayo Mungu ajuaye mwisho wangu na mwanzo wangu atataka nife. Hivyo tu.
 
Watanzania Hatuna tamaduni hizo cjui nyie mmetoa Wapi hizo Roho Hakuna kiongoz duniani toka kuumbwa kwa ulimwengu amewah kuw mkamilifu Kwenye uongoz wake lazma awe na dosari lkn pamoja na yote amefany meng Sana watu wa Hali ya Chini na Wapend haki ndo wanaelewa Jinsi gn inauma kumpoteza Huyu mwamba.

Jana nimeangalia kwny kituo flan Iv walikuw wanaonyesha viongozi mbalmbal waki sain daftari La maombolezo nilimuona baloz wa Zambia nchini mzee flan Iv sijamkarir jina Alilia kwa uchungu akimlilia Magufuli Ndyo aliyoifanya Tanzania ifike hapa ilipo na ni mzambia sasa nashangaa Mtanzania mwenzangu unaropoka ovyo tu.

Hivi unadhan huyo Lissu ndo mkamilifu mtu acyejua maana ya uzalendo anafny kitu kwa masifa ili kufurahsha mabeberu all in all magufuli tutamkumbuka narudia tutamkumbuka iandike hii tarehe ya Leo mahali.
We nawe akili zako kiduchu..kwani kabla ya magufuli kuingia madarakani Tanzania watu walikua wanaishije?
 
Back
Top Bottom