Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbunge msukuma,Paul makonda(alikuwa anasubiri kuteuliwa kwa hamu),gwajima mchungaji,harmonize,diamond platinum nisaidie kutaja wengine jamani ila kusema ukweli safari ya mbunge msukuma kisiasa inakaribia kuisha
Me
Mbunge msukuma,Paul makonda(alikuwa anasubiri kuteuliwa kwa hamu),gwajima mchungaji,harmonize,diamond platinum nisaidie kutaja wengine jamani ila kusema ukweli safari ya mbunge msukuma kisiasa inakaribia kuisha
Me
Si tuliambiwa ametangulia Chato kwenda kupikia wageni.!Mtoa mada ni kati ya watu wa ajabu sana, hawa ndio walikuwa wanakesha humu kutetea upuuzi kuwa corona haipo na tutalindwa na mungu??Tahadhari ni muhimu mno na baadae mungu ananyoosha njia....
Tuje tukiwa tumelewa kabisa ili tulie machozi yatoke.Wanaotaka kuja kumuaga Raisi wetu mpendwa JPM .Leo au Kesho ..Hakikisheni mnavaa kiheshima ..Pensi Haziruhusiwi wala Nguo za kuacha mabega wazi ...
Asanteni
Official au?Wanaotaka kuja kumuaga Raisi wetu mpendwa JPM .Leo au Kesho ..Hakikisheni mnavaa kiheshima ..Pensi Haziruhusiwi wala Nguo za kuacha mabega wazi ...
Asanteni
Uanajeshi kazini kwako in moderator voiceModerator uzi wangu hauhusiani na matukio mengine nipo specifically na salamu za jeshi maana ndio kada yangu kuunganisha unanikosea adabu
Nafuatilia Misa takatifu ya kuuombea mwili wa Aliyekuwa Rais wa JMT, katika kanisa la Mt. Peter kwa hadhi ya msiba ulitakiwa kuwepo na Maaskofu wa kutosha ila sijaona hata mmoja.
Ibada imeendeshwa na Mapadre tu.
Hii si sahihi kabisa.
Sub woofer sijui itapiga mdundo upi sasa... maana battery iko low sasa...Assad ni jembe tatizo katiba hairuhusu, pia sabuhufa hampendi Assad kwakuwa Assad alimpa makavu kuwa jengo lake ni dhaifu.
Na kila Padre ni Askofu.Kwani askofu si padre?
Nilshawaza kuhusu maswali uliyouliza nikajua akijibu tu mtegoni atanasa. Very tricky questions!Mara kachaguliwa, mara bila kupingwa.... una uhakika hujachanganyikiwa?
Kwa roho mbaya aliyokuwanayo. Badala ya kusema R.I.P nasema B.T H ( BURN TO HELL)Si kwasababu ya wizi wa mali za umma.
Haiwezekani,
PM ni lazima awe mbunge wa kuchaguliwa na wananchi(mbunge anaewakilisha jimbo ).
Hivyo ndivyo katiba inavyotaka.
Nilichokiona Leo.kuaga mwili wa Dk Magufuli ni kuwa maaskofu wazeeTanzania wana imani kubwa kwa Mungu kwenye majanga makubwa kama Korona kuliko maaskofu ,Mapadre na Masista vijana walio chini ya umri wao
Nimethibitisha hilo baada ya kumuona Mzee kuliko wote Askofu na Kardinali Pengo hajavaa barakoa wakati inadaiwa kuwa watu wenye umri mkubwa ndio wepesi kudaka Corona kuliko vijana!! maaskofu na mapadre na masista vijana kuliko yeye wanaogopa Corona kumzidi!! Wamevalia mibarakoa wote vijana wadogo.Nikakumbuka Neno la Kristo aliuliza Mwana wa Adam akija ataikuta imani? Namjibu kwa kujiamini kuwa ndiyo utaikuta imani ya ya wengi mmojawapo ni Kardinali Pengo katikati ya Corona asiyevaa barakoa akikuamini wewe akiamini sala hutakiwi kuomba Mungu kwenye Altare ukiwa umemvalia barakoa eti unasali sala ya baba yetu uliye mbinguni huku umemvalia barakoa
Yamoto hio mzee babaKwakweli, me namuomba madam president abadilishe DPP pia, huyu aliepo ni chanzo cha mrundikano wa cases nyingi mahakamani na pia akipenda amteue Prof. Mussa Asad kuwa Prime minister au Vice President.