Dar: Yaliyojiri kuagwa kwa Mwili wa Hayati Dkt. Jonh Magufuli Uwanja wa Uhuru

Dar: Yaliyojiri kuagwa kwa Mwili wa Hayati Dkt. Jonh Magufuli Uwanja wa Uhuru

Mbunge msukuma,Paul makonda(alikuwa anasubiri kuteuliwa kwa hamu),gwajima mchungaji,harmonize,diamond platinum nisaidie kutaja wengine jamani ila kusema ukweli safari ya mbunge msukuma kisiasa inakaribia kuisha

Me
 
Tukubaliane kila mmoja aliguswa kwa namna yake na mamlaka inayoondoka na inawezekana sehemu iliyoumiza ndio tuliishiriki wengi lakini kwa sababu mamlaka nyingine inaingia lazima Wapaka mafuta kwa mgongo wa chupa wawepo. Kama kusema ndio kupona kila mmoja aseme awezavyo.
 
Mtoa mada ni kati ya watu wa ajabu sana, hawa ndio walikuwa wanakesha humu kutetea upuuzi kuwa corona haipo na tutalindwa na mungu??Tahadhari ni muhimu mno na baadae mungu ananyoosha njia....
Si tuliambiwa ametangulia Chato kwenda kupikia wageni.!
 
Wanaotaka kuja kumuaga Raisi wetu mpendwa JPM .Leo au Kesho ..Hakikisheni mnavaa kiheshima ..Pensi Haziruhusiwi wala Nguo za kuacha mabega wazi ...

Asanteni
 
Wanaotaka kuja kumuaga Raisi wetu mpendwa JPM .Leo au Kesho ..Hakikisheni mnavaa kiheshima ..Pensi Haziruhusiwi wala Nguo za kuacha mabega wazi ...

Asanteni
Tuje tukiwa tumelewa kabisa ili tulie machozi yatoke.
Sio heshima hata kidogo kupita mbele ya jeneza la raisi halafu hulii.
Watu wa mataifa ya nje si wataona msiba haujatuumiza‽
 
Kwani askofu si padre?
Nafuatilia Misa takatifu ya kuuombea mwili wa Aliyekuwa Rais wa JMT, katika kanisa la Mt. Peter kwa hadhi ya msiba ulitakiwa kuwepo na Maaskofu wa kutosha ila sijaona hata mmoja.

Ibada imeendeshwa na Mapadre tu.

Hii si sahihi kabisa.
 
Nilichokiona Leo.kuaga mwili wa Dk Magufuli ni kuwa maaskofu wazeeTanzania wana imani kubwa kwa Mungu kwenye majanga makubwa kama Korona kuliko maaskofu ,Mapadre na Masista vijana walio chini ya umri wao

Nimethibitisha hilo baada ya kumuona Mzee kuliko wote Askofu na Kardinali Pengo hajavaa barakoa wakati inadaiwa kuwa watu wenye umri mkubwa ndio wepesi kudaka Corona kuliko vijana!! maaskofu na mapadre na masista vijana kuliko yeye wanaogopa Corona kumzidi!! Wamevalia mibarakoa wote vijana wadogo.Nikakumbuka Neno la Kristo aliuliza Mwana wa Adam akija ataikuta imani? Namjibu kwa kujiamini kuwa ndiyo utaikuta imani ya wengi mmojawapo ni Kardinali Pengo katikati ya Corona asiyevaa barakoa akikuamini wewe akiamini sala hutakiwi kuomba Mungu kwenye Altare ukiwa umemvalia barakoa eti unasali sala ya baba yetu uliye mbinguni huku umemvalia barakoa
 
Haiwezekani,

PM ni lazima awe mbunge wa kuchaguliwa na wananchi(mbunge anaewakilisha jimbo ).
Hivyo ndivyo katiba inavyotaka.

PM Majaliwa alichaguliwa na nani?

Wakati alipitishwa bila kupigwa na tume ya Uchafuzi.
 
Nilichokiona Leo.kuaga mwili wa Dk Magufuli ni kuwa maaskofu wazeeTanzania wana imani kubwa kwa Mungu kwenye majanga makubwa kama Korona kuliko maaskofu ,Mapadre na Masista vijana walio chini ya umri wao

Nimethibitisha hilo baada ya kumuona Mzee kuliko wote Askofu na Kardinali Pengo hajavaa barakoa wakati inadaiwa kuwa watu wenye umri mkubwa ndio wepesi kudaka Corona kuliko vijana!! maaskofu na mapadre na masista vijana kuliko yeye wanaogopa Corona kumzidi!! Wamevalia mibarakoa wote vijana wadogo.Nikakumbuka Neno la Kristo aliuliza Mwana wa Adam akija ataikuta imani? Namjibu kwa kujiamini kuwa ndiyo utaikuta imani ya ya wengi mmojawapo ni Kardinali Pengo katikati ya Corona asiyevaa barakoa akikuamini wewe akiamini sala hutakiwi kuomba Mungu kwenye Altare ukiwa umemvalia barakoa eti unasali sala ya baba yetu uliye mbinguni huku umemvalia barakoa

Hata jiwe alikuwa mbishi kama wewe, na hiki kitu ndicho kimesababisha kukutanisha watu wengi sana hapo uwanja wa Taifa.
 
Kwakweli, me namuomba madam president abadilishe DPP pia, huyu aliepo ni chanzo cha mrundikano wa cases nyingi mahakamani na pia akipenda amteue Prof. Mussa Asad kuwa Prime minister au Vice President.
Yamoto hio mzee baba
 
Back
Top Bottom