Aliteua wa kwao tu wale wanaosukuma.Wamejazwa kila mahali.Hata kama hawana uwezo,elimu,ufahamu nk.Magufuli nafasi za juu alifuata iko unachosema katika kuteua!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aliteua wa kwao tu wale wanaosukuma.Wamejazwa kila mahali.Hata kama hawana uwezo,elimu,ufahamu nk.Magufuli nafasi za juu alifuata iko unachosema katika kuteua!?
Unasemea uwezo upi??Aliteua wa kwao tu wale wanaosukuma.Wamejazwa kila mahali.Hata kama hawana uwezo,elimu,ufahamu nk.
Unamualika nani?Niwaalike wote tuungane Twende tukaone Mwili wa Aliyekuwa Rais wetu.
Leo ndio siku yetu kwa Dar.
Machinga. Mama ntilie kwa mikoa ya pwani na viunga vyake twendeni.
Waache waangamie kwa kukosa kwao maarifa na kuendekeza kikiYou guys need to be cautious when you follow the Masses. Often "M" is missing or very silent!
Kumbukeni Covid-19 ipo... Na inaibua magonjwa nyemelezi!
So hata kama mmesombwa na kulipiwa nauli au mafuta kama kipindi cha kampeni hakikisheni mmoja mmoja mnachukua tahadhari na kujilinda!!
Eti kuitwa mnyonge nayo ilisha kuwa ni sifa?Poleni sana kwa kumpoteza mtetezi wenu wa nyinyi wanyonge.
Ulichukua tahadhari au utaendelea kusambaza Covid-19??Mie niliuona na kuuaga jana. Kesho naruka kwenda Chato kuhudhuria maziko.
Wewe unafuata mnuso tu 😋 🍜🍲🍛 wa msibani huko Chato!! Hakuna lingine!! Tayari umeshamuaga marehemu! Chato unaenda kufanya nini?Mie niliuona na kuuaga jana. Kesho naruka kwenda Chato kuhudhuria maziko.
Msilazimishe watu kwenda kwenye Mambo wasiyoyapendaNiwaalike wote tuungane Twende tukaone Mwili wa Aliyekuwa Rais wetu.
Leo ndio siku yetu kwa Dar.
Machinga. Mama ntilie kwa mikoa ya pwani na viunga vyake twendeni.
Sawa mkuu. Ukifika hakikisha unatokea kwenye videoNiwaalike wote tuungane Twende tukaone Mwili wa Aliyekuwa Rais wetu.
Leo ndio siku yetu kwa Dar.
Machinga. Mama ntilie kwa mikoa ya pwani na viunga vyake twendeni.
Wasione sifa hao mataga wanatesa mwili wa marehemu. Mtu akifa anatakiwa kuzikwa. Siyo kutembezwa barabarani kwa ajili ya maoneshoNiwaalike wote tuungane Twende tukaone Mwili wa Aliyekuwa Rais wetu.
Leo ndio siku yetu kwa Dar.
Machinga. Mama ntilie kwa mikoa ya pwani na viunga vyake twendeni.
Hakika hata mjane wa Luena alimpenda sanaWatu wamelala uwanjani jana wanamsubiri mpendwa wao. JPM alipendwa jamani 😍😍😍