Dar: Yaliyojiri kuagwa kwa Mwili wa Hayati Dkt. Jonh Magufuli Uwanja wa Uhuru

You guys need to be cautious when you follow the Masses. Often "M" is missing or very silent!

Kumbukeni Covid-19 ipo... Na inaibua magonjwa nyemelezi!

So hata kama mmesombwa na kulipiwa nauli au mafuta kama kipindi cha kampeni hakikisheni mmoja mmoja mnachukua tahadhari na kujilinda!!
 
Waache waangamie kwa kukosa kwao maarifa na kuendekeza kiki
 
Mie niliuona na kuuaga jana. Kesho naruka kwenda Chato kuhudhuria maziko.
Wewe unafuata mnuso tu 😋 🍜🍲🍛 wa msibani huko Chato!! Hakuna lingine!! Tayari umeshamuaga marehemu! Chato unaenda kufanya nini?

Ungeenda kumuagia huko huko Chato!!
 
Kuna wengine hawakuwa wanyonge hawajaguswa acheni kualikana mtu anakwenda kulingana na alivoguswa na msiba
 
Niwaalike wote tuungane Twende tukaone Mwili wa Aliyekuwa Rais wetu.

Leo ndio siku yetu kwa Dar.

Machinga. Mama ntilie kwa mikoa ya pwani na viunga vyake twendeni.
Msilazimishe watu kwenda kwenye Mambo wasiyoyapenda
 
Niwaalike wote tuungane Twende tukaone Mwili wa Aliyekuwa Rais wetu.

Leo ndio siku yetu kwa Dar.

Machinga. Mama ntilie kwa mikoa ya pwani na viunga vyake twendeni.
Sawa mkuu. Ukifika hakikisha unatokea kwenye video
 
Niwaalike wote tuungane Twende tukaone Mwili wa Aliyekuwa Rais wetu.

Leo ndio siku yetu kwa Dar.

Machinga. Mama ntilie kwa mikoa ya pwani na viunga vyake twendeni.
Wasione sifa hao mataga wanatesa mwili wa marehemu. Mtu akifa anatakiwa kuzikwa. Siyo kutembezwa barabarani kwa ajili ya maonesho
 
Back
Top Bottom