DAR: Zaidi ya watu 200 Temeke wadhurika ngozi wakidaiwa kula chakula chenye mafuta yenye sumu

Mtoa Taarifa

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2024
Posts
213
Reaction score
671
Zaidi ya wakazi 200 wa Mtaa wa Yombo Dovya, wilayani Temeke wameathirika kwa kubabuka ngozi katika maeneo mbalimbali mwilini baada ya kudaiwa kutumia mafuta ya kula yenye sumu.

Mafuta hayo inasemekana yamenunuliwa katika duka la mfanyabiashara anayefahamika kwa jina la Kamau maarufu kama Mangi.

Your browser is not able to display this video.
 

Attachments

  • repost1615645823410695659.mp4
    14 MB
Utakuta hospitali zetu zinawachukulia kama fursa badala ya kuibua tafiti za kina
yan inatisha hayo mafta wameenda kuchunguza huko kwa mpemba wakakuta hayana lebo kuulizwa anasema wakiyasafirisha hawaweki lebo na sababu zisizo mashiko inatia gagaziko na mtanziko ukiona hao watu walivyodhurika utashangaa yan wameungua kama na moto, ndio najiuliza sjui n mafuta ya nn
 
Mamlaka zetu za usimamizi wa vyakula hazina maana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…