Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hukk baharini hakuna wasimamizi wa kuhakikisha kila mzigo unaoingia una nyaraka zote na ni salama kwa matumizi ya binadamu? Au ndiyo yale kufanya kazi kwa mazoea na rushwa ikiendelea kutawala?Mafuta ya magendo baharini
Ni hatari kubwa sana hii.Zaidi ya wakazi 200 wa Mtaa wa Yombo Dovya, wilayani Temeke wameathirika kwa kubabuka ngozi katika maeneo mbalimbali mwilini baada ya kudaiwa kutumia mafuta ya kula yenye sumu.
Mafuta hayo inasemekana yamenunuliwa katika duka la mfanyabiashara anayefahamika kwa jina la Kamau maarufu kama Mangi.
Vyombo vyote vipo bussy na Chadema na kuteka watu wanaopost mitandaoniMpaka mafuta yanaingia na kudhuru watu inaonyesha jinsi gani vyombo vyetu vya usalama (TBS) vilivyo na shida
Wizara ganie?Hilo janga kubwa.
By now,ilipaswa kuwepo statement ya Wizara ya Afya.
There's no Coast guard in Tanzania, mipaka yote ya bahari ipo uchi wa mnyamaHukk baharini hakuna wasimamizi wa kuhakikisha kila mzigo unaoingia una nyaraka zote na ni salama kwa matumizi ya binadamu? Au ndiyo yale kufanya kazi kwa mazoea na rushwa ikiendelea kutawala?
Kwa jambo kama hili kuna watu wanapaswa kuwajibishwa kama si kujiwajibisha wenyewe. Nchi za wenzetu issue kama hii ni very serious case indeed
Wamebabuka noma
Kudadek emu weka ushahidiMoja ya dalili ini limeathirika.