DAR: Zaidi ya watu 200 Temeke wadhurika ngozi wakidaiwa kula chakula chenye mafuta yenye sumu

Huyu aliyebabuka lips kanichekesha sana wakati hii ni ishu serious sana. Kama tukishindwa kujizalishia vyakula tutalishwa takataka hadi tuchakae. Wachina wapo huko wanazalisha kila aina ya misosi feki, wana hadi mafuta ya kutoka kwenye kinyesi cha binadamu. Nchi inaweza kulima Mawese, Nazi, alizeti na karanga lakini bado inaagiza mafuta nje.
 
Mamlaka zichukue sampuli ya mafuta hayo toka kwa watu walioathirika zikapimwe kujua ni sumu gani wamekula. Halafu mfanyabiashara huyo naye atoe ushirikiano ni wapi amenunua mafuta hayo ili kujua yametengenezwa na kiwanda gani hatua za kisheria zichukuliwe
 
 
Kama kuna health problem Serikali lazima iwaarifu watu kwa wakati ili wajilinde.
But,no. Watu wanaogopa kutumbiliwa na rais.
Kwa hiyo yakitokea matatizo kama haya knee- jerk reaction ni kujaribu kuficha.
Au wanaogopa watasema kitu kitawafukuza watalii.
Sasa nimeamka asubuhi naona kipele kidogo sehemu za siri. Sijui inahusuana na hii m pox?
What I noticed yesterday ni kwamba mpishi amenipikia chakula vizuri sana,I ate supper very heartily nikiwaza labda mpishi ameamua kujirekebisha tabia zake za ovyo.
Kumbe labda it was just a trap.

I mean,Wizara lazima itoe tangazo kwamba kuna ugonjwa hapa yunsufuatilia Everyone must be informed.
Lakini habari tunazipata kutoka kwa JF reporter.
Ambayo nasoma absent - mindedly, lakini kwa vile najua maana ya maneno , slowly I realize someone is trying to tell me something, someone is trying to tell there is some kind of disease.

Halafu mimi sina medical card,na sina hela hata senti tano.
 
Wamfungulie kesi awalipe fidia
 
Yombo Dovya bandari kavu Dar es Salaam Tanzania kwa malori ya nchi za Burundi, Rwanda na DR Congo, je hakuna uwezekano safari hizi ndefu za madereva na ma utingo wanaofika nchi za maziwa makuu kuleta ugonjwa ?

Last week African countries reported 2,532 new mpox cases, mostly in the Democratic Republic of the Congo (DRC) and Burundi, pushing the total since the first of the year to 50,840 cases, officials from Africa Centres for Disease Control and Prevention (Africa CDC) said today...

The officials also reported 32 more deaths from the virus. At the briefing, Jean Kaseya, MD, MPH, Africa CDC's director-general, said cases continue to rise in Uganda and the outbreak has spread to one more district of Central African Republic (CAR), Paoua, which is on the border with Chad.....source : Cases top 50,000 in Africa's mpox outbreak


Mpox Situation in Rwanda
  • Cumulative suspected cases: 5486.
  • New suspected cases: 122.
  • Total confirmed cases: 78.
  • New confirmed cases: 4.
  • Cases under follow-up: 20.
  • Total discharged cases: 58.
  • New discharged cases: 11.

RBC: Home › mpox
 
Huyo mwenye duka almaarufu kama mangi ndio anauziwa na huyo mpemba unaemsema au vip?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…