DAR: Zaidi ya watu 200 Temeke wadhurika ngozi wakidaiwa kula chakula chenye mafuta yenye sumu

Mafuta ya magendo baharini
Hukk baharini hakuna wasimamizi wa kuhakikisha kila mzigo unaoingia una nyaraka zote na ni salama kwa matumizi ya binadamu? Au ndiyo yale kufanya kazi kwa mazoea na rushwa ikiendelea kutawala?
Kwa jambo kama hili kuna watu wanapaswa kuwajibishwa kama si kujiwajibisha wenyewe. Nchi za wenzetu issue kama hii ni very serious case indeed
 
Ni hatari kubwa sana hii.

Lakini chanzo cha mabalaa yote haya ni kutokana na kukosekana kwa Competent institution for Standard Control and Monitoring
 
Mafuta hayo yanatengenezwa Ubungo maji na hapo Temeke.
Polisi wanajua, Serikali za Mitaa za maeneo husika zinajua
 
There's no Coast guard in Tanzania, mipaka yote ya bahari ipo uchi wa mnyama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…