Daraja jipya la Selander lakamilika, Kufunguliwa Desemba 27, 2021

Usisahau na madege ya ATCL Dreamliner 787 nk kuwa yatamaliza shida ya ajira kuliko kujenga viwanda. Hii nchi anayeiongoza ana ubongo mzuri kweli anajua kufanya prioritization haswaa..
 
Ingewekwa Tozo kuvuka ili kupunguza fujo za Wazalendo…wafanye walau buku mbili
Mtumie kodi yao kujenga, na bado muone nongwa wakipita muweke tozo ili wasipite?!! Acheni roho mbaya.
 
... ufahari usio na impact kwa wananchi walio wengi! There could be better options with the same resources spent on the project.
Kwa kiwango cha pesa kilichotumika na ukiangalia matatizo halisi ya hii nchi ni bora fedha ingeelekezwa kwenye maeneo mengine kuliko kujenga daraja kwa ajili ya wakazi wa masaki na oysterbay ambao hawajawahi kuwa na tatizo la barabara.
 
... wewe umenielewa!
 
Mkuu tujivunie hiki kidogo tulichopata. Watz hatuwahi kuwa na shukrani kabisa.
 
Mkuu tujivunie hiki kidogo tulichopata. Watz hatuwahi kuwa na shukrani kabisa.
... Mkuu, hoja yangu ni kwamba tungeweza kufanya makubwa na yenye impact zaidi kwa wananchi masikini kwa kutumia the same resources.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…