Baba Joseph17
JF-Expert Member
- Jul 15, 2013
- 9,517
- 9,762
Kijana foleni inasababishwa na uwepo wa Junction nyingi na siyo lanes za barabara mnaweza na kuwa na two lane two ways na foleni isionekane lakini kama mnajunction nyingi foleni haiepukiki sawa kijana... hela iliyotupwa hapo ingetosha kupanua barabara ya Mwenge hadi Posta Mpya njia nne kila upande; ingetosha kupanua barabara ya Morogoro toka Kimara hadi Posta Mpya njia nne tukasahau foleni completely. Mradi wa Daraja la Selander hautamaliza tatizo lililokuwepo kwa kiwango kikubwa!