Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Magufuli alikuwa mwamba kwa kweli haters wajiandae kwenda labour wakajifungue mimba za chuki!Hili nilikuwa sina wasiwasi nilijua litaisha on time na kwa kiwango cha juu maana kulikuwa hakuna pua ya mswahili iliyogusa au kuona pesa za hiyo project, pesa ilitolewa na Mkorea na akalipwa contractor moja kwa moja na kazi ikasimamiwa na mkorea 100%, model iliyotumika ni sumu kwa mafisadi, Congratulations to the late President JPM