Daraja jipya la Selander lakamilika, Kufunguliwa Desemba 27, 2021

Daraja jipya la Selander lakamilika, Kufunguliwa Desemba 27, 2021

Wanakomalia chuki za wazi kwa vitu ambavyo havina hata mantiki
Halafu huyo Mkwele mwenyewe kipindi akiwa rais msimamizi wa miradi yote alikuwa JPM, alimpeleka uvuvi,miradi ikasuasua akamrudisha wizara ya ujenzi.

Yaani utake usitake key player wa awamu ya JK alikuwa Magu. Hawa jamaa wanao mchukia ni wale walio amua kuzihifadhi mimba zao za chuki za mwendazake,ila ukweli wana ujua.
 
Kazi ya Jakaya....mipango yote,michoro,usanifu,pesa n.k alishamaliza JK. Angalia hii post ya mwezi March- 2015 JPM akiwa Waziri wa Ujenzi na Miundombinu

Ushajiuliza kwa nini awamu zote za JK, waziri wa ujenzi alikuwa Magu? Then jiuliuze kwa nini alimrudisha Magu wizara ya ujezi baada ya kumpeleka uvuvi kwa kipindi kifupi.
 
Halafu huyo Mkwele mwenyewe kipindi akiwa rais msimamizi wa miradi yote alikuwa JPM, alimpelela uvuvi,miradi ikasuasua akamrudisha wizara ya ujenzi.

Yaani utake usitake key player wa awamu ya JK alikuwa Magu. Hawa jamaa wanao mchukia ni wale walio amua kuzihifadhi mimba zao za chuki za mwendazake,ila ukweli wana ujua.

tatizo tunabishana na wavulana wanaliokuwa wanapakatwa na wauza madawa enzi za magufuli.
 
Ucheke na wewe.

Tatizo vichaa wengi wanamtafutia credit kwa nguvu zote ila anakosa.

Hilo daraja Magufuli hausiki kwa lolote. Hakuna hata sh 100 ya Tz imelala hapo.

unamjua waziri wa ujenzi kipindi cha jk??au ulikuwa vidudu bado??

hata kama unabanwa na haja akisifiwa jpm,bado hata jk wako hatafaa kupewa sifa hii.
 
Nilikua miongoni mwa walioomba kibarua pale baada ya kukosa sgr yapi markezi
 
This is nyerere bridge

My own shot
IMG_20211216_142315_072.jpg
 
All Credit to the Late JOHN POMBE MAGUFULI, jamaa alibana pesa ila tulijionea kwa macho pesa zikitengeneza na kuboresha miundombinu…

Aendelee kupumzika kwa Amani na kwa heshima yake ningependekeza liitwe Magufuli Bridge…
Amen. Mungu amrehemu huyu shujaa wetu. Maisha yake ni zawadi kwetu na wajukuu wetu. Hili daraja ni moja tu ya mifano. Magufuli tulikupenda sana Rais wetu. Lala kwa amani.
 
... hela iliyotupwa hapo ingetosha kupanua barabara ya Mwenge hadi Posta Mpya njia nne kila upande; ingetosha kupanua barabara ya Morogoro toka Kimara hadi Posta Mpya njia nne tukasahau foleni completely. Mradi wa Daraja la Selander hautamaliza tatizo lililokuwepo kwa kiwango kikubwa!
Wahuni mtaisha lini
 
Hawa wakorea wapo vizuli wapewe kazi ya kujenga lile daraja la pangani lina mita 500 Kama sikosei
 
DARAJA LA

SURRENDER

SELANDER

SALENDAR
The old Selander Bridge was constructed back in 1929 and named after John Einar Selander; the first Director of Public Works after the British took over the territory from Germany
 
Back
Top Bottom